Mashehe na Maaskofu wanaohangaika kumuombea Dua Paul Makonda wanajisikiaje anapotajwa waziwazi kushiriki kushambulia watu?

Daaaah
 
Waubwabwa hao
 
wanafiki na wazushi wakubwa ninyi.
hizo tuhuma za makonda mliwahi kizithibitisha?
Au ni smearing campaign mliyowahi kuanzisha kuficha uovu wenu?
Mmejifunza kuzusha mambo halafu kuyafanya viral na interational ili muendelee kupata fesha za wafidhili hisusani marekani.
 
Binadamu huwa wanaenda na upepo, pili wanaependa dunia kuliko pepo, sababu ukiipenda pepo, utatenda haki, ukipenda dunia utaangalia maslai big up shehe Ponda
 
Wanamwombea ili kumridhisha! Lakini damu za watu alizomwaga (kama ni kweli) zinamlilia Mungu kutoka ardhini zikitaka kisasi juu aliyezimwaga.
 
Kwani wao wenyewe ni wasafi? Husikii wakitoa Kafara hapa na pale?
 
Wanamwombea ili kumridhisha! Lakini damu za watu alizomwaga (kama ni kweli) zinamlilia Mungu kutoka ardhini zikitaka kisasi juu aliyezimwaga.
Kila siku makanisani kuombewa......ni psycholojia fulani ya Kujihisi Mtuhumiwa na mkosaji.....bila kutubu ataombewa sana ila amani hataipata
 
Wee kapuku uko dunia ipi?
 
Ulitaka awombe Mbowe na genge linaloendesha SACCOS?
 
Wengine ni wao pia au pia huenda anatubu
 
Kweli wewe jingaletu,zwazwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…