Mashehe wana hoja kuhusu umri wa kuolewa

Kuvunja ungo na uwezo wa kuhimili mikimiki ya uzazi ni vitu viwili tofauti Kuna maternal death mchungaji acheni ujinga wenu wakuozesha mabinti wadogo wa 12 13 afu usisahau kuwah kuvunja ungo mapema sio kua maturity
Yaani shida sana , mtoto wa miaka 14 eti aolewe dar. Quran yenyewe inaongelea maturity sio kimwili bali kuwa na sound mind.
 
Tuwahurumie mabinti zetu! Miaka 20 ndiyo umri angalau wa binti kuolewa! Anakuwa ameshakomaa na ameshajua majukumu yake kama Mama! Wakati mwingine tusifuate miongozo ya dini ambayo ilijengwa kwa utamaduni wa Wayahudi na Waarabu! Mwishowe tutamfuata mtume wa Allah aliyeoa mtoto wa miaka 6 akambikiri akiwa na miaka 9! Nadhani huyo alikufa bila kuzaa!
 
Sasa watoto wanaanza mapenzi na miaka 8
 
NARUDIA TENA, with due honest, kama unataka tujadili SIPENDI tabia ya kunakili maandiko ya Google na kutupia hapa,WEKA KWA LUGHA YAKO MWENYEWE, you have a brain bro!! Kuhusu Biblia wala usinichoshe, hicho ndicho kitabu cha rejea unacho nukuu, lakini kama kuna hoja toka google, onyesha hiyo rejea kisha ufafanue kwa mtazamo wako nami nitafafanua kwa nini Biblia imeandika vile utakavyonukuu. Hebu tuache ubishani wa kitoto turudi kwenye hoja ya msingi.

Thanks
 
Google ni search engine, Google haina maandiko.

Nikikuwekea maandiko ya nukuu ya kitabu cha dini yako, vile vile yalivyo katika kitabu, niliyoyapata kwa kupitia Google, utayakataa kwa sababu nimeyapata kwa kutumia Google?

Kama maandiko ninayokupa yana hoja dhaifu, pangua hizo hoja dhaifu, usipinge maandiko kwa sababu yametoka sehemu fulani, pinga maandiko kwa kupangua hoja.

Mbona mimi naona Quran na Biblia zina upuuzi na upumbavu mwingi, lakini sikatai hoja kwa sababu imetoka katika Quran au Biblia, naikataa hoja kwa sababu ina mapungufu kimantiki, kwa sababu, licha ya Quran na Biblia kuwa na ujinga mwingi, sio kila kitu kutoka kwenye Quran na Biblia ni ujinga.

Google ni search engine inayoweza kukupa mengi ya maarifa mazuri, na mengi ya ujinga.

Kwa hivyo, kitu kutoka Google si hoja kwamba ndiyo kizuri au kibaya.

Ili kuweza kukosoa kitu kimantiki inabidi ukosoe hoja zaidi ya kusema "hiki kimetoka Google" tu.

Ukikataa kitu kwa sababu kimepatikana kwa kutumia Google, utakataa mpaka kitabu chako cha dini.

Maana nacho kinapatikana Google vile vile.
 
kama hujui maaandiko heri ungenyamaza
 
Huu uzi ni batili unahamasisha 'pedophilia'-tabia ya mtu mzima kuvutiwa kingono na watoto.....

Haijalishi umeitoa kwenye bible ama quran, haifai, utapingwa tu!
 
"Does the Bible Support Slavery? | Catholic Answers" Does the Bible Support Slavery?
 
Kuamini Mungu anayekupangia kuishi bila wewe kukubali kwamba unataka kuishi tu ni kukubali slavery.
Kwani kiranga unachotaka kujadili hapa ni kitu gani ? Afu umesikia wapi kuwa mimi sitaki kukubali kuishi ?

Tatizo kwenye baadhi ya mada ni unaujuaji mwingi usio na tija, Nyenyere amekuambia huko juu achana na mambo ya google kisha ulete ivo vifungu vya biblia kwa muono wako wewe na kisha mjadili sio kwa copy paste toka google. (Maana hiyo hata yeye angeweza kufanya kama mimi nilivokufanyia hapa).
 
Kwani wewe unafikiri ninachotaka kujadili nini? Na wapi nimekwambia wewe hutaki kuishi?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nimemjibu Nyenyere kwamba Google haina content, Google ni search engine ambayo mambo karibu yote yaliyo mtandaoni unaweza kuyapata kwa kuitumia.

Sasa, ukiniambia niachane na hoja, kwa sababu nimeipata kwa kutumia Google tu, hata hiyo hoja ya kusema "achana na hoja kwa sababu umeipata kwa kutumia Google" naweza kuipata Google.

Sasa hapo nitafanya vipi, nimetumia Google, nikapata hoja kwamba niachane na hoja nitakayoipata kwa kutumia Google.

Niachane na hoja ya kuachana na hoja kwa sababu nimeipata hoja kutumia Google?
Au niachane na hoja kwa sababu nimeipata kwa kutumia Google?

Contradiction. But I suspect you will not get it.

Pia, kwa wanaoamini vitabu vya dini, vitabu hivyo pia vinapatikana Google.

Mtaachana navyo kwa sababu vinapatikana Google?

Hujajibu hoja, unaleta viroja.
 
Na wapi nimekwambia wewe hutaki kuishi?
Kuamini Mungu anayekupangia kuishi bila wewe kukubali kwamba unataka kuishi tu ni kukubali slavery.
Kwani wewe unafikiri ninachotaka kujadili nini?
Unaniuliza mimi tena, mimi naona unatangatanga tuu, ndio kusema uzito wa title ya uzi umekushinda ukahamishia kwenye slavery ambayo unalazimisha tujadili kwa kutumia copy paste ya articles unazotoa wikipedia.
 
Mkuu, hili ni jibu langu la mwisho kwako. Kama unataka t7jadili naomba uhenge hoja, sio tabia yako ya kuchukua mabandiko ua google unatupia hapa. Wewe una akili timamu ya kuweza kuoembua mambo, soma hizo makala halafu njoo hapa jukwaani uandike mtazamo wako HUKU UKIFANYA REJEA ya hizo makala. Huo ndio utaratibu mzuri kwa mtu mwenye fikra timamu, tukianza kushindana kunakili makala mbalimbali mtandaoni maana yake vichwa vyetu havina uwezo wa kupembua mambo na kutoa maoni yetu. Mimi pia nina uwezo wa kunakili mabandiko mbalimbali kwa msaada wa google, lakini sipendi kuwa Kama msukule. Uhai wa mjadala wowote ni uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko, nje ya hapo ni mashindano ya kipuuzi. Mimi siko kwe mambo ya kipuuzi, napenda kujenga hoja maridhawa. Kama umeelewa tuenselee, la hujaelewa basi kwa heri.
 
kama hujui maaandiko heri ungenyamaza
Kama kweli unajua maandiko ungenioa ufafanuzi nielewe, unaongea kama mtu asiye na hoja bali ameshikilia msimamo fulani. Maandiko sio aya za kukariri, learn that!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…