grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Mbona swali langu ni easy sana nimeomba unipe aya za quran au hata sura iliyoelezea process zote za namaz ukiachana na wudhu. kuanzia niya , takbiratul ihram , nguzo zote 14 za swala na wajibat swala ni aya/sura ipi inayoelezea hayo yote .Kwani salat haijaelezwa na WQur'an? Anza kujibu hilo kwanza.
tena Bi matyam mamake yesu anaambiwa piga na rakaa na wenye kurukuu, unalijuwa hilo?
Yupo sahihi
Hakuna sehemu nimeongelea mwanamke kukatazwa kufanya kazi ya halali ninachoongelea ni wapi ameruhusiwa kuwa kiongozi juu ya mwanaume .Naaam. Hadith zipo za ndsani ya Qur'an ni maneno ya Allah na zipo za nje a Qur'an ni maneno ya watu tu.
Sasa sikuelewi unachpopinga au kukubali ni nini hapo?
Mimi nasema, hakuna kwenye Qur'an ilipokatazwa mwanamke kufanya kazi yoyote ile ya halali.
Tatizo sio uchumi tu. Tatizo mila..ulaya kuna ushenzi mwengi sana
Wanaojitambua kwamba maisha ya akheta ni bora kuliko ya dunia hawakimbilii hukoKwanini watu toka mataifa yote bado wanakimbilia huko wasibaki kwenye maadili kama Somalia?
Sera zake ndio zimemponza pamoja na watu kuuchoka utawala wa democrats sio jinsia.Yupo sahihi kabisa USA wamezingatia sana maandiko hayo kumkataa Kamala Harris
Mbona swali langu ni easy sana nimeomba unipe aya za quran au hata sura iliyoelezea process zote za namaz ukiachana na wudhu. kuanzia niya , takbiratul ihram , nguzo zote 14 za swala na wajibat swala ni aya/sura ipi inayoelezea hayo yote .
Kwani huyu anayeishi kwenye handaki anaitwa nani?🐼Kuna Ayatollah mwanamke? Tuanzie hapo kwanza
Mimi sio kondoo mkuu.. mimi nimesikimishwa na sheikh sule..Siku hizi kondoo mnapiga fatwa za Kiislam?
AiseeHuyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno
Mbona ipo ndani ya mada nimeuliza kutokana na point yako ya kwamba " hadithi ni maneno ya watu tu" tafadhali ungenijibu swali langu kwanza ili twende sawa.Nakushauri fungulia uzi hii mada uitakayo, ni mada tofauti kabisa na iliyopo hapa.
Nina wasiwasi huyu Sheikh anaweza kutekwa,Mafwele anamlia timing tu
Unajua mimi nashindwa kukuelewa kabis kabisa, unaikubali qur'an lakini aliyepewa hiyo qur'an kupitia kwa jibril humtaki. Mtume ndio kiumbe borq kabirq kabisa lakini humtaki. Mtume ndio amekueleza hata jinsi ya kuswali. Ila kwa sababu ya maslahi ya kudunia, mnafikia hata kumkataa mtume.hayo ni maoni yako, mwongozo wa Kiislam ni Qur'an.
اقيم الصلاه لدلوك الشمس الى غسق الليل وقران الفجرhalafu unipe aya pia inayosema tuswali swala tano
Hapo haijatumika AI wala nini kwani hukuwahi kumsikia huyu Sheikh na haya maneno yaliyosababisha migogoro kwa Waislam kwa kupishana mtazamo?Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Naona unajijaza ujinga. Wapi nilisema simtaki Mtume wetu Muhammad?Unajua mimi nashindwa kukuelewa kabis kabisa, unaikubali qur'an lakini aliyepewa hiyo qur'an kupitia kwa jibril humtaki. Mtume ndio kiumbe borq kabirq kabisa lakini humtaki. Mtume ndio amekueleza hata jinsi ya kuswali. Ila kwa sababu ya maslahi ya kudunia, mnafikia hata kumkataa mtume.