Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Kwani salat haijaelezwa na WQur'an? Anza kujibu hilo kwanza.

tena Bi matyam mamake yesu anaambiwa piga na rakaa na wenye kurukuu, unalijuwa hilo?
Mbona swali langu ni easy sana nimeomba unipe aya za quran au hata sura iliyoelezea process zote za namaz ukiachana na wudhu. kuanzia niya , takbiratul ihram , nguzo zote 14 za swala na wajibat swala ni aya/sura ipi inayoelezea hayo yote .
 
Naaam. Hadith zipo za ndsani ya Qur'an ni maneno ya Allah na zipo za nje a Qur'an ni maneno ya watu tu.

Sasa sikuelewi unachpopinga au kukubali ni nini hapo?
Mimi nasema, hakuna kwenye Qur'an ilipokatazwa mwanamke kufanya kazi yoyote ile ya halali.
Hakuna sehemu nimeongelea mwanamke kukatazwa kufanya kazi ya halali ninachoongelea ni wapi ameruhusiwa kuwa kiongozi juu ya mwanaume .
 
Kwanini watu toka mataifa yote bado wanakimbilia huko wasibaki kwenye maadili kama Somalia?
Wanaojitambua kwamba maisha ya akheta ni bora kuliko ya dunia hawakimbilii huko
 
Mbona swali langu ni easy sana nimeomba unipe aya za quran au hata sura iliyoelezea process zote za namaz ukiachana na wudhu. kuanzia niya , takbiratul ihram , nguzo zote 14 za swala na wajibat swala ni aya/sura ipi inayoelezea hayo yote .

Nakushauri fungulia uzi hii mada uitakayo, ni mada tofauti kabisa na iliyopo hapa.
 
Nakushauri fungulia uzi hii mada uitakayo, ni mada tofauti kabisa na iliyopo hapa.
Mbona ipo ndani ya mada nimeuliza kutokana na point yako ya kwamba " hadithi ni maneno ya watu tu" tafadhali ungenijibu swali langu kwanza ili twende sawa.
 
hayo ni maoni yako, mwongozo wa Kiislam ni Qur'an.
Unajua mimi nashindwa kukuelewa kabis kabisa, unaikubali qur'an lakini aliyepewa hiyo qur'an kupitia kwa jibril humtaki. Mtume ndio kiumbe borq kabirq kabisa lakini humtaki. Mtume ndio amekueleza hata jinsi ya kuswali. Ila kwa sababu ya maslahi ya kudunia, mnafikia hata kumkataa mtume.
 
Faiza foxy
Kama umeelezea hayo kwa kusukumwa na unafiki ndani yako badała ya Ukweli wa Mungu,
Kama umeelezea hayo kwa kusukumwa ndani yako na maslahi yako binafsi kama mnufaika ,
Kama umeyasema hayo kwa hila, nia ovu , ghiliba n.k
Kama umeyasema hayo kwa nią ya kupotosha ,
Basi Mwenyezi Mungu Muumbaji wa Mbingu, Dunia , wanadami na vyoote na akukukemee mwenyewe.
Mwenyezi Mungu na akuhukumu mweyewe.
Amina.
 
Mbona sio Shekhe Huyu tu wanaoelezea hayo,
Wapo wengine ambao huamini katika kusema ukweli .
Iła wengi ni wanafiki, wazandiki.
 
Ni shekhe wa mkoa wa daresamu, anaitwa walidi na ndiye aliyemsilimisha clement mzize Hadi kuchukua na jina
 
halafu unipe aya pia inayosema tuswali swala tano
اقيم الصلاه لدلوك الشمس الى غسق الليل وقران الفجر

حافظوا على الصلوات والصلاه الوسطى

فسبحان الله حين تمسون وحين تظهرون

وله الحمد في السماوات والارض وعشيا وحين تظهرون

واقيموا الصلاه

ان الصلاه كانت على المؤمنين كتابا موقوتا
 
Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Hapo haijatumika AI wala nini kwani hukuwahi kumsikia huyu Sheikh na haya maneno yaliyosababisha migogoro kwa Waislam kwa kupishana mtazamo?
 
Unajua mimi nashindwa kukuelewa kabis kabisa, unaikubali qur'an lakini aliyepewa hiyo qur'an kupitia kwa jibril humtaki. Mtume ndio kiumbe borq kabirq kabisa lakini humtaki. Mtume ndio amekueleza hata jinsi ya kuswali. Ila kwa sababu ya maslahi ya kudunia, mnafikia hata kumkataa mtume.
Naona unajijaza ujinga. Wapi nilisema simtaki Mtume wetu Muhammad?

hebu weka hadithi yoyote uijuwayo wewe nikupe darsa dogo, litalokusaidia maisha yako.
 
Back
Top Bottom