grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Mbona swali langu ni easy sana nimeomba unipe aya za quran au hata sura iliyoelezea process zote za namaz ukiachana na wudhu. kuanzia niya , takbiratul ihram , nguzo zote 14 za swala na wajibat swala ni aya/sura ipi inayoelezea hayo yote .Kwani salat haijaelezwa na WQur'an? Anza kujibu hilo kwanza.
tena Bi matyam mamake yesu anaambiwa piga na rakaa na wenye kurukuu, unalijuwa hilo?