Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake


Masahihisho kidogo hajanukuu maandiko matakatifu (quran) amenukuu hadith(maneno ya mtume muhammad (amani iwe juu yake)) inayopatikana ndani ya sahih bukhari .pia kuna aya ya surat nisa'a kama ilivyonukuliwa

An-Nisa' 4:34

ٱلرِّجَالُ قَوَّٰمُونَ عَلَى ٱلنِّسَآءِ بِمَا فَضَّلَ ٱللَّهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَآ أَنفَقُوا۟ مِنْ أَمْوَٰلِهِمْۚ فَٱلصَّٰلِحَٰتُ قَٰنِتَٰتٌ حَٰفِظَٰتٌ لِّلْغَيْبِ بِمَا حَفِظَ ٱللَّهُۚ وَٱلَّٰتِى تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَٱهْجُرُوهُنَّ فِى ٱلْمَضَاجِعِ وَٱضْرِبُوهُنَّۖ فَإِنْ أَطَعْنَكُمْ فَلَا تَبْغُوا۟ عَلَيْهِنَّ سَبِيلًاۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيًّا كَبِيرًا

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
 

Msome mwanamke mmoja mrembo aliyewahi kuwa kiongozi wa juu sana nchini Misri aliyeitwa Cleopatra ambaye alikuwa malkia wao. Pia msome malkia wa Sheba.
 
Mimi sikubaliani naye moja kwa moja.Kuna wanawake wamewahi kuongoza nchi zao kwa mafanikio mkubwa.
Kwa sisi hapa,Mama yetu kashindwa kama yeye na siyo kwa sababu ni mwanamke.
 
Yani mkuu hii kitu nilipata shida sana kwa mkewangu kumuondoa huu ujinga kuhusu baba yake,Maana mama yake alimjaza ujinga kiasi kwamba alikua anaona mama yake ndio kamsomesha.
Cha ajambu mama yake mwenyewe hana kazi. Wanawake ni viumbe hatari sana
 
Mimi sikubaliani naye moja kwa M
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
Hayo aliyoyasema Shehe di msneno yake bali ni maagizo toka kwa Mtume.
Kwenu Bakwata, je, nanyi mtamuasi Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?

oja.Kuna wanawake wamewahi kuongoza nchi zao kwa mafanikio mkubwa.
Kwa sisi hapa,Mama yetu kashindwa kama yeye na siyo kwa sababu ni mwanamke.
 
Kwa sisi waislamu lazima tuzingatie maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwamba tumuunge mkono muislamu mwenzetu.
 
Kwanza kwenye Uislam hatuna mtukufu zaidi Mwenye Enzi Mungu pekee, hivyo hilo la Masheikh watukufu achana nalo.

Huyu Walid mtoto wa Bi Mwalimu kashikwa na nini? Kabla ya yote kaongea haya lini? Nahofia kusema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…