Pre GE2025 Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga hoja
 

Okay,hiv huwezi kuishitaki jamhuri kwa kukusababishia usumbufu.maana ikibaki kama hivyo DPP anaweza kuitumia vibaya ofisi yake.ni sawa na juzi Dr.Slaa ameachiwa kwa mtindo huo huo.kwambA DPP anaweza tu kuacha kuendelea na kesi just that simple.
 
Dunia Haina HurumA.
Kuna Sehemu Umekaa Unajiaminisha Ujinga Huku Ukijiona Mjanja Na Chuki Zako Uchwara.
Jera Ni Haina Mwenyewe Hata Uwe Rais Wa Nchi Tegemea Linaweza Likukute Jambo Iwe Kwa Kutenda Au Kwa Kusingiziwa.Chunga Ulimi Wako Dogo.
 
Hii nchi in sheria za hovyo sana. Yaani unawashikilia watu kwa miaka 10 halafu from nowhrre unawaaambia huna nia ya kuendelea kuwashikilia. Kwa hiyo wapo huru. Na bado ukiamua unaweza kuwakamata tena! Na hapo hakuna cha fidia wala nini!!

DPP!! Bila shaka hiki ni kichaka cha uonevu na kinachotakiwa kufanyiwa marekebisho haraka iwezekanavyo.
 
Hii Inaweza Kuwa Ndo Chanzo Cha Chuki Dhidi Ya Kile Ulichokitaja.
Hawa Wanahitaji Kitu Kidogo Tu Kuwafanya Magaidi.

Dhulma Ndo Chanzo Cha Kisasi Ila Ukiwa Na Akili Za Kikanisa Kanisa Huwezi Kuelewa.
Wametumikia Miaka Kumi Bila Sababu Za Msingi Alafu Kuna mtu Anashangilia Binadam Mwenzie Kuonewa Kisa Ni Mwislam Kaonewa Ila Tambua Mambo Hubadilika.
 
Hao muamsho issue yao ilikuwa kisiasa zaidi na wala sio udini.
Kuna watu wale walisombwa tu hawajui a wala ba. Na wengi walikuwa wapemba na ni Wafuasi wa CUF kwa kipindi kile kabla CUF kusambaratika na wengi kujiunga na ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…