Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu.

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app

Yule alifungwa kwa shinikizo la kisiasa,hawa mashehe wewe kama haupo kwenye ulizi na usalama wa nchi hii huelewi,kuna vikundi vya watu havilali vinatafuta nafasi kuharibu mfumo mzima wa nchi hii,kibiti mauaji ya mapadr kule zenji inapaswa ikufunze jambo,likija suala la usalama na amni ya nchi hutakiwi kucheka na nyani.
 
Kwani Israel na hamasi nani gaidi?hili kujua ukweli kwanza uache ushabiki
Hamas (wapalestina) ni kukundi cha kigaidi. Kingekuwa siyo kikundi cha kigaidi cha kiislamu kingetangaza vita.
Sasa wewe unateka mpk wathailand, Wamerakani, watanzania na kuua mtanzania.
 
Kuna information huna .....lazima kuna kitu ndio maana wameondoka nao uzuri wenyewe wanajua sababu ipi....kama hskuna kesi ingine basi with time watawaachia....
 
Mafisadi wapo nje mashehe wasio na hatia wanawasumbua.
Ilitakiwa Serikali iwalipe fidia hao mashehe kwa kuwakalisha ndani kwa uonevu
 
Fisad pekee ndie yupo juu ya Sheria.
Ukiiba dollar 50 unafukuzwa kazi ukiiba dollar milion moja unahamishwa idara
 
Mafisadi wapo nje mashehe wasio na hatia wanawasumbua.
Ilitakiwa Serikali iwalipe fidia hao mashehe kwa kuwakalisha ndani kwa uonevu
usimalize maneno.
kuwana hatia ama lah hilo ni swala la mahakama kusema.
 
Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu.

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Tatizo la kwanza ni kuamini unachukiwa ni Ngumu kuondoa hii nadharia kichwani.

Kwanini mtu awachukie waislam na sio wahindu, mabudha, wapagani na washirikina?
Watu wanaposema baadhi ya mapadri wana lawiti watoto, ni kwa kuwa wanawachukia Wakatoliki?

Mtu anaposema walokole wanapiga makelele ni kwa kuwa anawachukia walokole?
Mtu anaposema Mwamposa ni tapeli je anawachukia wakristo?
Kwanini hampendi watu wakawajibika kutokana na matendo yao ila mnapenda kuwapa Cover kwa ngao ya Udini?
 
Mafisadi wapo nje mashehe wasio na hatia wanawasumbua.
Ilitakiwa Serikali iwalipe fidia hao mashehe kwa kuwakalisha ndani kwa uonevu

Unauhakika hawana hatia,tukikuita mahakamani unaweza kutoa ushahidi beyond doubt kuwa hawana hatia?
 
Inferiorty complex
 
msumbiji magaidi ya kiislam yanaua kwann usitumie muda wako kukosoa pia kuliko kutetea mtu huna ukakika wa unachotetea
Hana uhakika vipi wakati mahakama imeshathibitisha kuwa hawana hatia?
Kuhusu msumbiji anzisha uzi tutachangia mkuu
 
Unauhakika hawana hatia,tukikuita mahakamani unaweza kutoa ushahidi beyond doubt kuwa hawana hatia?
Mahakama imethibitisha hawana hatia ndiomaana wakashinda kesi, wewe mgalatia usiye na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…