jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu.
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Yule alifungwa kwa shinikizo la kisiasa,hawa mashehe wewe kama haupo kwenye ulizi na usalama wa nchi hii huelewi,kuna vikundi vya watu havilali vinatafuta nafasi kuharibu mfumo mzima wa nchi hii,kibiti mauaji ya mapadr kule zenji inapaswa ikufunze jambo,likija suala la usalama na amni ya nchi hutakiwi kucheka na nyani.