Kama umeisoma hiyo Aya ulioiquote (at taubah 29) ni kuwa anaelazimika kulipa kodi kwa lazima ni mateka wa VitaNa hii mnaitoa wapi ?
What is the meaning of jizya?
The Jizya, a tax imposed on non-Muslims in the Islamic world, acted as a source of revenue and a pact of protection for those living under Muslim rule, not to be confused with the Muslim religious tithe, the zakat.
Jizya Origin, Implementation &
Kama Qurani inakataza?
Vipi kama non-muslim amekosa hiyo Jazya in Islamic Nation ?
Unaijua adhabu yake ?
Hadi hii leo nchi yoyote inayofuata sharia law non-muslims wanalazimika kulipa kodi:Kama umeisoma hiyo Aya ulioiquote (at taubah 29) ni kuwa anaelazimika kulipa kodi kwa lazima ni mateka wa Vita
Maana yake baada ya kuwaua waislam kwa kuwachokoza mwenyewe au kuzuia harakati zao za dini na wakaamriwa na Mungu kupigana na wewe hadi utii na ulipe Kodi lakini huwezi kulazimishwa kulipa bila sababu mkuu
Mungu anasema:
At taubah 9:4
9:4 - Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wacha-Mungu.
Waulize wanazuoni wa kiislamMajini walikuwepo kabla ya uislamu na binaadamu hili tunakubaliana wote, sasa kabla ya uislamu majini walikuwa dini gani?
Pole kwa kuogopa kitu usichokuwa na ufahamu nacho maana hata mimi mwanzo nilikuwa naogopa mtu alievaa suti nikiamini ni mumuiani kumbe ni vazi tu la kawaidaJana maeneo ya ilala Huku mitaa ya lindii NILIPISHANA NA MZEE WA MAKAMO MWEUSI TIII KAVAA KANZU NYEUSI TIII ANA TASBIII MKONONIIIII YUPO ANASURA NGUMU YUPO ANAONGEA ONGEA HUKU ANATEMBEA MPAKA UKIMUANGALIA UNAOGOPAA SURAA NGUMU NA MAKOBAZIII
NILIOGOPA KWA KWERIIIII JAMANII TUISHI KWA AMANI..
Tufanye neno Jazya halipo:Wakiristo kibao wapo Qatar, Saudia na nchi nyingi za kiarabu wanafanya kazi na mengine mbona hawalazimishwi kulipa kodi kwa kuwa wakiristo? Hayo yako umeyatoa wapi
Lipo ila ulikuwa unalielewa tofauti au wahusika wanalitekeleza kinyume na maandiko yote yanaweza kuwa majibuTufanye neno Jazya halipo:
Mkuu watu wanakua na sigda kubwa kubwa na uso wa Roho ngumu ni mwanzo wa kuanza kua RADICAL MUISLIMPole kwa kuogopa kitu usichokuwa na ufahamu nacho maana hata mimi mwanzo nilikuwa naogopa mtu alievaa suti nikiamini ni mumuiani kumbe ni vazi tu la kawaida
Kwangu mimi bora hao unaowaita radical au extremist Muslims kuliko hawa waganga na wachawi wanaotumia muamvuli wa dini na Qur'anMkuu watu wanakua na sigda kubwa kubwa na uso wa Roho ngumu ni mwanzo wa kuanza kua RADICAL MUISLIM
Unajua nini dini ni OPIUM Kuna watu wanashindwa kuwa balance ⚖️ ni HATAREEE sanaaaaaa
Kile kitabu aina ya Quran ya waganga wakienyejii/ shehe ni sawa na hii Quran tukufu au ni vitabu TOFAUTI kabisaa 😔Kwangu mimi bora hao unaowaita radical au extremist Muslims kuliko hawa waganga na wachawi wanaotumia muamvuli wa dini na Qur'an
Kuwa radical maana yake ni kufuata kile kilichoamrishwa katika kitabu na kukifanya kama kinavyohitajika kufanywa
Mfano mdogo ni kuwa siku TRA wakitaka kutekeleza sheria ya Kodi kama ilivyoandikwa lazima tuwaone ni radical hasa ukizingatia wengi hatutaki kulipa kodi au sheria za Kodi ni ngumu
Huwezi ukazini mke wa mtu halafu uuliwe kwa kutekeleza sheria bila wazinzi wenzio wasimuite aliekuua kuwa ni extremist
Adhana sini katika uislamu vipi tena iwe shirki ndugu naomba nifahamisheHuo uganga wa kitabu ni shirki ndugu yangu kama unajifunza ili kuwa miongoni mwao acha Mara moja utaingia hasarani siku ya kiyama
Huo uganga wa miti shamba unaruhusiwa ila usihusishwe na maombezi ya kishirikina uwe ni kama dawa za hospital tu kama wale wanaouza dawa za asili
Kuna wengine hutumia Adhana kuagua hizi zote ni shirki tujiepushe nazo
Ni kama mwamposa anavyotumia Bible kuwapa watu mafuta ya upakoKile kitabu aina ya Quran ya waganga wakienyejii/ shehe ni sawa na hii Quran tukufu au ni vitabu TOFAUTI kabisaa 😔
Ahsante kwa kuomba kufahamishwa ni kuwa:Adhana sini katika uislamu vipi tena iwe shirki ndugu naomba nifahamishe
Mshana Jr aliwai kuniambia ukitaja jina la yesu ama damu ya yesu mapepo, majini, wachawi ama waganga Wana tetemeka na kuharibiwaNi kama mwamposa anavyotumia Bible kuwapa watu mafuta ya upako
Tafsiri yake ni kuwa mtu anakuwa na mikoba ya uchawi katika ukoo wake na waumini wake wanaendaga kurogana kwake siku zote hata kabla hajafikiwa na elimu ya dini
Leo wakaja watu wakamuambia acha huo ni upotofu rudi kwa Yesu muokozi akasema sawa na akasoma dini na Bible watu wakamuamini kuwa ni mchungaji na anaagua au kuponya kwa jina la Yesu kumbe anatumia mikoba ya kwao ya toka kitambo hicho
Kwa mfano huo nahisi umeelewa
Kwa nini?uislam ni shrik tupu.
kumpinga Mungu na mitume wake ni zaidi ya shrik.Kwa nini?
Unaamini kwamba majini huweza kumuingia binaadamu na kumsababishia maradhi?Uchawi ni shirki hilo halina mjadala kwanzia waumini wake na watekelezaji wote ni washirikina
Ngoja nikueleweshe ili uelewe vizuri
Mganga anaeroga ni mshirikina na anaeenda kwa mganga akaaguliwe pia ni mshirikina
Yani wote wapo katika shirki