prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,329
- 3,726
Dini tamu sana ya kuwasimamia majini ili yaswali
Mada ya uchawi siku ile uliikimbia Leo tuachane nayo tuongelee shirki kama shirki yani kumshirikisha Mwenyezi Mungu na viumbe alivyoviumbaKweli sio lazima uamini kila kitu ndio maana wapo waislamu wengine hawaamini kuwepo majini.
Kwa mtazamo wako huo kuhusu uchawi na shirki ina maana inawezekana mtu akajihusisha na anachoamini kuwa ni uchawi na bado asiwe kafanya shirki.
Mudi muongo.muongo sanaMajini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine na ambao wameamrishwa kumuabudu Mungu pekee, Allah anasema
51:56 - Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
Nenda Malawi na Zambia mi huko nilikuta mganga anatumia bible kupiga ramli hivyo kwenye hizi dini kuna namna Ipo sie ambao hatuzijui kuna vitu tumefichwaHakuna hicho kitu,hakuna mganga yeyote utakuta anakusomea bible wala kuihusisha na hayo madude.
Anayetaka dini isiyokuwa ya kiislamu haitakubaloka kwake:Hakuna kulazimishana katika dini ila ukiamua kufuata dini fuata na maamrisho yake wengi wa masheikh wanachanganya dini na ushirikina kitu ambacho dini imekataza
Mwenyezi Mungu anasema: (Al Bakarah)
2:256 - Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Aliiweka ili umuamini.Nenda Malawi na Zambia mi huko nilikuta mganga anatumia bible kupiga ramli hivyo kwenye hizi dini kuna namna Ipo sie ambao hatuzijui kuna vitu tumefichwa
Soma comment #129 nimejibu hoja yakoje huyu Allah mwenye majina 99 anatofauti gani na Mungu wa kweli JEHOVA.???JE??huyu Allah ni NANI?
JE?ni kweli kuwa kuna MAJINI MAZURI/WEMA?
JE? ni kweli majini nayo yana muabudu MUNGU wa kweli?? au MAJINI yanamubudu mungu wao allah??
Je ni kweli MUNGU wa kweli ana ushirika na MAJINI?yani anasikiliza sala za majini na anazijibu?yani ana urafiki na majini???
Wewe utakuwa ni Mshinto:Hiyo umeitoa wapi pastor
Hiyo ni sharia Law:Lete aya mkuu acha maneno wapi Qur'an imesema asiyekuwa muislam auliwe au atoe Kodi?
Kwa mujibu wa waislam allah ameumba majini na wanadamu ili wamuabudu kwa pamoja. Yani majini ni waislam na wamesilimu na kumuabudu allahKwanini mkuu wakati majini si ndio walikuwepo kabla ya kuja uislamu sasa inakuaje hawawezi kutenganishwa na uislamu? Wazee wetu wa kiafrika si walikuwa wanaabudu mizimu ambayo ndio hao majini, sasa mbona majini wanahusishwa na uislamu pekee tu?
Ukikaa karibu na msikiti unapishana na majini masaa 24/7Kwa mujibu wa waislam allah ameumba majini na wanadamu ili wamuabudu kwa pamoja. Yani majini ni waislam na wamesilimu na kumuabudu allah
3:85 - Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.Hiyo ni sharia Law:
Mkristo akiishi katika nchi ya sharia Law kama Afganistan analazimishwa kufanya mambo matatu:
1.Kulazimishwa kusilimu
2.Kulazimishwa kulipa kodi ya Jazya na inapandishwa kila kikicha ili ushindwe
3. Ukishindwa unauliwa (ufe)
Uislamu ni dini ya kulazimisha
Utake usitake uwe mwislamu
Al-Imrani 85
Kodi ya Jazya ipo kwenye nchi za Kiislamu zinazofuata Sharia Law:3:85 - Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
Katika hiyo Aya Mungu anasema akhera mtu huyo ambae amekataa dini ya kiislam atakuwa amepata hasara
Wapi pamesemwa auwawe au alipe kodi?
Bado hujajibu
Kwahiyo nifuate maneno yako sio maandiko?Kodi ya Jazya ipo kwenye nchi za Kiislamu zinazofuata Sharia Law:
Huelewi nini hapo:
Allah hakubali ukitafuta dini nyingine ambayo sio ya kiislamu na waislamu wanasisitiza hivyo:
Utaishije nchi ya kiislamu huku unafanya jambo asilolipenda Allah?
(AL I'MRAN - 85)
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.