Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Moja ya kitabu cha wazungu chenye kufundisha uchawi kwa kutumia maandiko ya biblia. Huyo dada ni mfano mmoja tu nimekupa kutokea hapa hapa Tanzania ili kuonyesha kwamba hata biblia inatumika pia.
Hakuna biblia inatumika kuagua bana,uislam ndio dini pekee ina neema hiyo.
Kuhusu Novena sijasema inahusishwa na mitishamba bali inaweza kutumika kumuangamiza adui au kulipiza kisasi, kwa kifupi sioni kama inatofauti na Albadir.
Utofauti ni kwamba novena unashitakiwa kwa Mungu,hakuna jini unarushiwa,na nyinyi waislam mnadai wazi albadir ni ushirikina maana yake Allah hahusiki.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wasandawe akina Chaba na Dudukwee hawana Dini na wanaishi kwa upendo na amani tele:
Mungu wa Wahdzabe ni mzuri kupita Mungu wa Waislamu:


Quote Reply
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Kwakuwa majini yamejitambulisha kuwa dini yao ni Uislamu:
Ni lazima kiongozi wa Kiislamu ajue wanashirikiana vipi nao katika ibada:
Maana mtume wao ni Muhamadi na yanaswali misikitini:
Kwahiyo Mashehe na Maimamu ni lazima wajue uhusiano wa waislamu watu na Waislamu majini:
Katika kujua huko ndiko kunakowapelekea kuwa wachawi:
Muhamadi alisema Majini ni ndugu wa Waislamu, muislamu ameambiwa ampende Jini Muislamu kuliko mtu asiye Mwislamu:
(Kafiri)Hapo mtakosaje kuwa wachawi ?

Je kama mwislamu umefanya juhudi gani kukutana na ndugu yako wa Kijini?
Kama alivyofanya mtume Muhamadi?
Kuwepo kwa majini ulimwenguni hakuna uhusiano na ushirikina/uchawi. Viumbe vyote alivyoumba Mwenyezi Mungu ikiwemo binadamu, miti, ndege, wanyama, majini, samaki na vinginevyo vinamuamudu Mungu mmoja tu isipokuwa wale walioasi miongoni mwao

Sio kila binadamu humuabudu Mungu mmoja hivyo hivyo sio kila jini humuabudu Mungu mmoja na hao walioasi ndio washirikina na wachawi miongoni mwa watu na majini

Mwenyezi Mungu anasema:
64:1 - Kinamtakasa Mwenyezi Mungu kila kilichomo katika mbingu na katika ardhi. Ufalme ni wake, na sifa njema ni zake. Na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
 
Wasandawe akina Chaba na Dudukwee hawana Dini na wanaishi kwa upendo na amani tele:
Mungu wa Wahdzabe ni mzuri kupita Mungu wa Waislamu:


Quote Reply
Hakuna kulazimishana katika dini ila ukiamua kufuata dini fuata na maamrisho yake wengi wa masheikh wanachanganya dini na ushirikina kitu ambacho dini imekataza

Mwenyezi Mungu anasema: (Al Bakarah)
2:256 - Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Kama kuna mti huitwa msaka uchawi, kuna mafuta ya kondoo n.k
Mafuta ya kondoo ni dawa ya magonjwa mengi mfano unaweza kutibu maumivu ya sikio kwa kutumia mafuta ya kondoo au mafuta ya kuku hiyo ni tiba asilia

Hivyo mtu akitumia mafuta ya kondoo kujitibu hiyo sio shirki hapo hajashirikishwa Mwenyezi Mungu kwa chochote

Kuhusu huo mti wa msaka uchawi siujui huenda una jina lingine huku kwetu
 
Hakuna biblia inatumika kuagua bana,uislam ndio dini pekee ina neema hiyo.

Utofauti ni kwamba novena unashitakiwa kwa Mungu,hakuna jini unarushiwa,na nyinyi waislam mnadai wazi albadir ni ushirikina maana yake Allah hahusiki.
Sasa nakuwekea ushahidi unakataa ndio maana nakwambia jifunze ujue mambo yalivyo usibaki kukariri tu na kutumia hisia, kwenye ishu ya waislamu kuna mambo mawili kwa maana kuna matumizi ya Qur'an kitiba kwa njia inayotambulika kuwa ndio sahihi kwa mafundisho ya kiislamu halafu kuna matumizi ya Qur'an kutiba ila inatambulika kuwa sio sahihi haitambuliki katika mafunzo ya uislamu. Kwahiyo wewe unaweza kukataa hayo matumizi ya biblia kwenye uchawi ila ukweli ni kwamba watu wanatumia, ni sawa na kwenye uislamu watu wanaweza kutumia Qur'an kwa matumizi kinyume na mafundisho ya uislamu.

Ushirikina maana yake kumuhusisha Mungu, sasa ukingalia novena jinsi inavyoweza kutumika na jinsi inavyofanya kazi haina tofauti na albadir.
 
Mafuta ya kondoo ni dawa ya magonjwa mengi mfano unaweza kutibu maumivu ya sikio kwa kutumia mafuta ya kondoo au mafuta ya kuku hiyo ni tiba asilia

Hivyo mtu akitumia mafuta ya kondoo kujitibu hiyo sio shirki hapo hajashirikishwa Mwenyezi Mungu kwa chochote

Kuhusu huo mti wa msaka uchawi siujui huenda una jina lingine huku kwetu
Kunywa mafuta ya kondoo huondoa uchawi wa tumboni, ndio nauliza ni ushirikina?
 
Sasa nakuwekea ushahidi unakataa ndio maana nakwambia jifunze ujue mambo yalivyo usibaki kukariri tu na kutumia hisia, kwenye ishu ya waislamu kuna mambo mawili kwa maana kuna matumizi ya Qur'an kitiba kwa njia inayotambulika kuwa ndio sahihi kwa mafundisho ya kiislamu halafu kuna matumizi ya Qur'an kutiba ila inatambulika kuwa sio sahihi haitambuliki katika mafunzo ya uislamu. Kwahiyo wewe unaweza kukataa hayo matumizi ya biblia kwenye uchawi ila ukweli ni kwamba watu wanatumia, ni sawa na kwenye uislamu watu wanaweza kutumia Qur'an kwa matumizi kinyume na mafundisho ya uislamu.

Ushirikina maana yake kumuhusisha Mungu, sasa ukingalia novena jinsi inavyoweza kutumika na jinsi inavyofanya kazi haina tofauti na albadir.
Kwa andiko lako hili linadhihirisha imani yako

Hakuna kutibu kwa kutumia kitabu huo ndio ushirikina wenyewe kama kweli umeruhusiwa naomba aya
 
Kwa andiko lako hili linadhihirisha imani yako

Hakuna kutibu kwa kutumia kitabu huo ndio ushirikina wenyewe kama kweli umeruhusiwa naomba aya
Kwani kutibu kwa kutumia kitabu wewe unaelewa ni nini au kitabu gani?
 
Mbona unatuchanganya sasa? Hauamini uchawi halafu hapo hapo unaonya watu kuhusu shirki ambayo sehemu kubwa ya shirki ni uchawi?
Shirki ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na alivyoviumba uchawi ni dhana ambayo katika dhana hiyo wanaoamini pia humshirikisha Mungu

Sio lazima niamini kila kitu mkuu
 
Sasa nakuwekea ushahidi unakataa ndio maana nakwambia jifunze ujue mambo yalivyo usibaki kukariri tu na kutumia hisia,
Ushahidi ni picha hizo ulizoleta!!!
kwenye ishu ya waislamu kuna mambo mawili kwa maana kuna matumizi ya Qur'an kitiba kwa njia inayotambulika kuwa ndio sahihi kwa mafundisho ya kiislamu halafu kuna matumizi ya Qur'an kutiba ila inatambulika kuwa sio sahihi haitambuliki katika mafunzo ya uislamu.
sasa kosa la mganga kama sule kwenye field hii ni lipi??nimetaja wasomi wabobevu wa Quran na wao kuwa waganga,hiyo ni neema moja wapo ya Quran.
Kwahiyo wewe unaweza kukataa hayo matumizi ya biblia kwenye uchawi ila ukweli ni kwamba watu wanatumia
ukweli hauwezi kuwa ukweli kwa sababu wewe umedai ni ukweli,mpaka uwe ukweli wenyewe,ukweli wenyewe ni kwamba hakuna mganga anaagua na bible.
, ni sawa na kwenye uislamu watu wanaweza kutumia Qur'an kwa matumizi kinyume na mafundisho ya uislamu.
Kitendo tu cha Quran kukubali kutumika kwenye mabaya na mazuri ni neema pia.urogee au utibie ni saafi.
Ushirikina maana yake kumuhusisha Mungu, sasa ukingalia novena jinsi inavyoweza kutumika na jinsi inavyofanya kazi haina tofauti na albadir.
novena Mungu anahusishwa kabisa,hakuna tunguli wala kuchoma ubani na kunenea maneno ya ajabu ajabu.
 
Shirki ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na alivyoviumba uchawi ni dhana ambayo katika dhana hiyo wanaoamini pia humshirikisha Mungu

Sio lazima niamini kila kitu mkuu
Kweli sio lazima uamini kila kitu ndio maana wapo waislamu wengine hawaamini kuwepo majini.

Kwa mtazamo wako huo kuhusu uchawi na shirki ina maana inawezekana mtu akajihusisha na anachoamini kuwa ni uchawi na bado asiwe kafanya shirki.
 
Back
Top Bottom