Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Ila masheikh wanatumia Quran tukufu kuita majini na kusomea visomo watu wawe wehu🥹Jambo jema ukiwa mganga wa kikristo hutumii biblia kutibu.

Hiyo dini imejaa magiciansKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki
Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim
98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka
98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.
Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza?
Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini.
Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama
NB, tujadili kistaarabu
Ushirikina ni kushiriki jambo kwa kinaHivi ushirikina ni nini?
🤣🤣🤣🤣 Ur so crazyHiyo dini imejaa magicians
I am so crazy in love with some thing some time🤣🤣🤣🤣 Ur so crazy
Dini kama dini na mafundisho yake haina magic baadhi ya wasomi ndio hutumia usomi wao kulaghai watu na kuihusisha na uchawi ambao ni mila za kiafrikaHiyo dini imejaa magicians
Qur'an inasemaje kuhusu majini ?Dini kama dini na mafundisho yake haina magic baadhi ya wasomi ndio hutumia usomi wao kulaghai watu na kuihusisha na uchawi ambao ni mila za kiafrika
Qur'an ni kitabu chenye makatazo mengi sana hasa yanayohusu kumshirikisha Mwenyezi Mungu na alivyoviumba
Hapana uchawi na uganga ni imani potofu ambazo zilikuwepo kabla hata waafrika hawakuletewa dini baada ya kuletewa dini wakachanganya mila zao na diniHuwezi kuwa shehe usiwe mchawi,hivi unaujua msingi au mlango wa usihiri upo kwenye juzuu fulani
Ndio maana magicians wamejaa humo kwa sababu wamepewa rafki wa kuambatana naye.Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine na ambao wameamrishwa kumuabudu Mungu pekee, Allah anasema
51:56 - Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
Ishu sio mganga bali maandiko ya biblia yanaweza kutumika kwenye ushirikina na mtu yeyote yule, na nimetoa mfano Zaburi hutumika sana tu kwa mambo kama hayo tena ninacho kitabu kinaeleza jinsi unavyoweza kutumia Zaburi kwa shida mbalimbali.Hakuna hicho kitu,hakuna mganga yeyote utakuta anakusomea bible wala kuihusisha na hayo madude.
DuhKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki
Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim
98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka
98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.
Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza?
Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini.
Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama
NB, tujadili kistaarabu
Mbona mkuu unanihukumu? Ina maana kuchangia kwenye uzi wako ndio teyali nakuwa mfanyaji wa vitendo vya ushirikina?Unatumia nguvu nyingi kuilezea shirk wakati ipo bayana kabisa kama unafanya hivyo vitendo acha utaingia motoni
Uislam ni dini ya ushetani, imejaa uchawi na ufugaji majiniKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki
Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim
98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka
98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.
Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza?
Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini.
Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama
NB, tujadili kistaarabu
Kwahiyo kwa mfano ukimuomba jini kitu au akusaidie kitu kama ambavyo unavyomuomba binaadamu mwenzako kitu au akusaidie jambo, hiyo pia ni kunshirikisha Mungu?Ni kumshirikisha mwenyezi mungu na kitu chochote,mfano kuomba kupitia makaburi ya mababu zetu,kuomba kupitia miti,kuomba kitu kwa mungu kupitia kitu kingine,kiumbe kingine.ni kumshirikisha mungu