TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Thibitisha bila kutumia propaganda maana wazee wa kumanupulate naona mmeshavamia uzi
View: https://youtu.be/3ynUYA6sLcw?si=YHd9yhsD7LeJQwlc
Thibitisha bila kutumia propaganda maana wazee wa kumanupulate naona mmeshavamia uzi
Kwanini unidhanie hivyo hadi kunionya? Inaonekana ni mwepesi kunyooshea wenzako vidole na kuona wao ndio wakosefu.Hapana sijakuhukumu ila nimekuonya ndio maana nimetumia neno "kama" maana yake sina uhakika kuwa unafanya shirki
Huo uganga wa kuagua na kuponya unatumia nini katika huko kuponya ama kuagua?Uganga kwa maana ya kuagua na kuponya sio dhambi
Uganga wa kutumia ndumba na uchawi na aina hiyo ndio dhambi maana ni shirki
Sijakudhania ila nimekuonya kuwa kama unamshirikisha Mwenyezi Mungu acha mara moja maana mwisho wa washirikina ni motoniKwanini unidhanie hivyo hadi kunionya? Inaonekana ni mwepesi kunyooshea wenzako vidole na kuona wao ndio wakosefu.
ILIMU haina mwisho tukiendelea kusoma vizuri huko mbeleni tukiongeza ilimu zaidi ya dini tukitoka kwenye umamuma tukawa wanazuoni,tukisoma ilimu ya FALAKI chuo cha maarifa. tutajua ILIMU MPYA ambayo sio waumini wote wanaijua ,ni wachache tu ndio wana hii ILIMU mfano ilimu ya maumbo..
MAJINI yametokea wapi yapo ya aina ngapi kuna majini upili yenye vinasaba vya binadamu,kuna majini mizimu,kuna misukule,kuna majini ya kutengeneza kutengenezwa na binadamu, kuna majini ya asili ,asili yao ni malaika,ambayo yalifukuzwa baada ya kumuasi Mungu,kule Mbinguni kabla ya kuasi mbinguni yalikuwaga malaika.
Shetani mwenyewe alikuwaga malaika, tena malaika mkuu wa sifa kule mbinguni akaasi akawadanganya na baadhi ya malaika kwa sehemu 1/3 theluthi moja ya tatu ya malaika wakamuunga mkono shetani kipindi hicho anaitwa lucifer...wakafukuzwa kutoka mbinguni wakatupwa kuzimu na duniani.
Sasa haya malaika yallipofika duniani yakazaa na binadamu majitu marefu manefil ,pia yakawafundisha binadamu ilimu ya maarifa ,yakawafundisha UCHAWI..haya majini ndio wengine huyaita MAJINI wema ,wasafi ,au waalimu.
ILIMU HAINA MWISHO...tunaweza kujifunza kwa MASHEIKH wenye ILIMU YA MAARIFA...ilimu ya FALAKI kama.
sheikh HAMIS HUSSEIN MUBARAK,
sheikh Omary mnyeshani,
Ostaadhi Amiri,..
na wengine wengi
TUPATE ILIMU KIDOGO
,DARSA SAFI KABISA.
View: https://youtu.be/GhEnBYda40E?si=rpZhYGdmn_9UL_DE
View: https://youtu.be/NvBoSksLVkw?si=5nNSz7GpvtkFYCen
View: https://youtu.be/PTYxT1dmc38?si=xclogBs_WaKt6C-N
View: https://youtu.be/gY25Oq32Bi4?si=QbuAIGTvD_9YC-O3
View: https://youtu.be/gEGa_aasP6c?si=rryl90ZfhIimmyj9
View: https://youtu.be/v083CK630OE?si=6hGRG5o_tE7v_41u
View: https://youtu.be/ymloTe4sS5c?si=lnopCwu9CKnR62ZN
View: https://youtube.com/playlist?list=PLRlKgK42wOQvxzAPWVtz-Hpdt7CW1F8-C&si=WzBqnaanQ3p07qhz
Onyo lako msingi wake ni dhana maana tulikuwa tunajadiliana vizuri mara ndio ukaja kuibuka na hilo onyo kwa tuhuma ya kutumia nguvu kutetea shirki.Sijakudhania ila nimekuonya kuwa kama unamshirikisha Mwenyezi Mungu acha mara moja maana mwisho wa washirikina ni motoni
Jua kutofautisha kuonya na dhana
Nilidhani maradhi ya kiroho.Hutumia dawa kama vile hospital ndio maana madokta huitwa waganga
Majini na uisilam ni kama samaki na maji. Huwezi kutenganishaUnaelewa nini kuhusu MAJINI
Kutetea shirki kwa kuipa majina mengi ni dalili ya kuingia katika shirki ndio maana nikakupa onyo hata Mwenyezi Mungu anatuonya kuwa;Onyo lako msingi wake ni dhana maana tulikuwa tunajadiliana vizuri mara ndio ukaja kuibuka na hilo onyo kwa tuhuma ya kutumia nguvu kutetea shirki.
Ni viumbe wa allahJibu swali, una uwelewa gani kuhusu MAJINI?
Jini ni shetani ibilisi viumbe wa allah mungu wa waislamKuna mahali umekosea napo ni "Allah" kwa maana Mungu na sio allah kwa maana "mungu"
Vipi wewe akitajwa kiumbe Jini nini kinakujia kichwani mwako
Wewe ndiyo ujitambui Mungu wa Uislamu ni IBILISI NA MALAIKA WA UISLAMU NI MAJINI NA UGANGA WA KIENYEJI NI MAJINI ...HIVYO HAO MASHEKH WAPO SAHIHI KABISA KUFANYA UGANGAKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki
Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim
98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka
98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.
Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza?
Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini.
Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama
NB, tujadili kistaarabu
Kwa kweli masheikh wanaboa, mtu kiongozi wa dini unajishughulishaje na uchawi? Karibu ya wachawi wote wakubwa ni masheikh, si hajabu hii? Waislam wanajiangusha wenyewe kwa kweli.Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.