Kuomba kwa namna ipi? Yani kwa mfano mie nikienda kumuomba mtu anisaidie pesa au tatizo langu?Mfano mdogo ni kuomba au kuabudu kiumbe alichokiumba huo ndio ushirikina au shirki
Tunatakiwa tumuombe na kumuabudu Mungu pekee na sio viumbe alivyo viumba
Dawa za kukata mauno nimeziona zikiuzwa msikitiniJadili hoja iliyopo acha propaganda usichokijua uliza ufahamishwe duniani hatuwezi jua kila kitu
Hapana sio kuomba kwa namna hiyoKuomba kwa namna ipi? Yani kwa mfano mie nikienda kumuomba mtu anisaidie pesa au tatizo langu?
Wanachokifanya ni kinyume na maamlisho na siku ya kiyama watapata adhabu kali, Mwenyezi Mungu anasema katika Surat-mubayyinaWanakuaga waganga wazuri Sana Mimi waislamu nawapendea hapo tuu wanatoa waganga wazuri sana
Tuache suala la kuabudu mi naulizia kuhusu kuomba, hapo kwenye kuomba kiroho ndio sijapaelewa vizuri. Kwahiyo kiujumla ni maombi ya vp huruhusiwa ambayo hayana sura ya kumshirikisha Mungu?Hapana sio kuomba kwa namna hiyo
Hapa Ina maana ya kuomba kiroho au kuabudu mfano unaenda kuliomba kaburi la mzee wako ili kutatua matatizo yanayokupata
Au kuomba viumbe vingine vya Mwenyezi Mungu kwa namna hiyo
Maombi na sala au toba zote zinatakiwa ziwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu tofauti na hapo ni ushirikinaTuache suala la kuabudu mi naulizia kuhusu kuomba, hapo kwenye kuomba kiroho ndio sijapaelewa vizuri. Kwahiyo kiujumla ni maombi ya vp huruhusiwa ambayo hayana sura ya kumshirikisha Mungu?
Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim 98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana, 98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika, 98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka 98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti. Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza? Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini. Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama NB, tujadili kistaarabu
Shirki na Uislamu hamuwezi kutengenishwaKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.
Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama kigezo cha kuaminika katika masuala ya kiuganga na kichawi jambo ambalo haliruhusiwi katika dini na ni shirki
Katika Surat mubayyina, Allah anasema baada ya Bismillah Arahman rahiim
98:1 - Hawakuwa walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana,
98:2 - Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
98:3 - Ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka
98:5 - Nao hawakuamrishwa kitu ila wamuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumtakasia Dini, wawe waongofu, na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti.
Katika aya hizo M/Mungu anasema waumini wote na masheikh hatujaamrishwa ila tuwe wema, tutoe zaka na kusali hayo ya uganga na ushirikina mmeyatoa wapi nyie masheikh nawauliza?
Mmeiharibu dini kiasi kuwa uislamu unaonekana ni dini ya wachawi na mila zingine potofu mlizokuwa nazo kabla hata hamkuujua huo uislamu wala elimu ya dini.
Kupitia andiko hili kama wewe ni Sheikh na una tabia hiyo iache mara moja na tubia kwa Mwenyezi Mungu haraka kabla kifo hakija kufika itakuwa ni khasara kwako siku ya kiyama
NB, tujadili kistaarabu
Bado najaribu kukuelewa mkuu, kuna maneno umetumia kama kuomba kiroho na changamoto za kiroho bado sijaweza kuyaelewa. Nilitoa mfano kumuomba binaadamu mwenzangu anisaidie pesa au tatizo langu ukasema hiyo sio kosa bali kinachokatazwa ni kuomba kwa kiroho ambapo sijaelewa kuomba kwa kiroho ndio kuna maana ipi tofauti na huo mfano niliyotoa?Maombi na sala au toba zote zinatakiwa ziwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu tofauti na hapo ni ushirikina
Umepata tatizo muombe Mungu akutatulie tatizo lako usiombe mizimu, majini, mawe au binadamu mwenzio maana kuna baadhi ya watu hufanya sala na maombi kwa binadamu wenzao kutatua changamoto za kiroho
Bado hujaelewa kiongozi! Kama hujaelewa nipe mfano wako nikufafanulie
Sio uislam tu hata ukristoMoja ya uzuri wa uislam ni huu,mtu akiusoma vyema anakuwa mganga wa jadi.
Ok nakupa mfano mwingine au narudiaBado najaribu kukuelewa mkuu, kuna maneno umetumia kama kuomba kiroho na changamoto za kiroho bado sijaweza kuyaelewa. Nilitoa mfano kumuomba binaadamu mwenzangu anisaidie pesa au tatizo langu ukasema hiyo sio kosa bali kinachokatazwa ni kuomba kwa kiroho ambapo sijaelewa kuomba kwa kiroho ndio kuna maana ipi tofauti na huo mfano niliyotoa?
Lakini umekuja tena kusema maombi yote ya changamoto za kiroho aombwe Mungu tu na kiumbe au kitu chochote, sijajua hizo changamoto za kiroho kama zipi hasa ndio huo uchawi au kuna zaidi?
UISLAM na UCHAWI,,mpaka wake ni mwembaba kama wembeKuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi.