Nadhani watu wengi hawawatetei ila wanataka sheria ifuatwe. Wahstakiwe wakikutwa hawana hatia waachiwe, wakikutwa na hatia hata ikibidi wanyongwe, poa tu... ili mradi sheria ifuate mkondo wake.Kumbe hata wanaowatetea hawa watu hawawajui kiundani wengi ni mkumbo tu.!
Hahahaahah.
Eti anasema alikuwepo wakati tukio linatokea.
Ajabu hii!
Hizi akili nyingine bhana,kumbe lengo la kutaka kuvunja muungano ni kupokea misaada mingi kutoka "arab/Europe countries "?
Lini walianzisha kudai dola kamili ya kikristu kwamba wakristu wajitenge wawe na taifa lao licha ya kuchomewa makanisa na kuuwawa watu wao?Hivi kuna mapadre na maaskofu magerezani?, Naona wanaonyonywa ni waislam tu
Ila walionewa na wanaendelea kuonewa na Marais ambao ni waislam wenzaoHivi kuna mapadre na maaskofu magerezani?, Naona wanaonyonywa ni waislam tu
Wapo kwa makosa mengine lakini siyo kwa makosa ya uhaini ya kutaka kulazimisha utawala DOLA ZA KIKRISTO.Hivi kuna mapadre na maaskofu magerezani?, Naona wanaonyonywa ni waislam tu
Kesi ya Uhaini ya miaka ya 1980's iliendeshwa wazi, kwa hoja za mahakamani, waliohukumiwa kufungwa walifungwa maisha na walioachiwa waliachiwa.Hili swala la Uamsho mimi nalirudisha nyuma kidogo kipindi cha Big Ben mwaka 2000 kipindi cha uchaguzi mkuu kama utakumbuka vizuri kuna watu wengi sana waliuwawa na wengine waliofanikiwa kutoroka walitorokea Shimoni(Mombasa). Hawa watu hawakukaa kimya kama tunavyodhani, ama usione walikotokea hao Masheikh ni coincidence. Haya mambo yalishapangwa kitambo na yalikuwa yanasubiri muda ujiri, yakamilike.
Nakumbuka mwaka 2015 Maalim Seif katika moja ya hotuba zake akiwa ni mgombea wa urais Z'bar alisema kwa uwazi kabisa, atapokuwa rais, jambo la kwanza ndani ya siku 100 za uongozi wake ni kuuvunja Muungano ili Z'bar iwe na mamlaka kamili. Isingekaa kuja kutokea Maalim Seif kuja kuwa rais wa Z'bar, huu ulikuwa ni mkakati wa muda tu wala mtu wa kinasaba chake kuja kuwa Rais hapo.
Hawa watu walichokuwa wanakifanya ni kuwalainisha Wazanzibari kwa lugha laini yenye utamu wa Asali na kuificha shubiri mwisho kabisa kwa kivuli cha Uislam na kuukataa ukafir wanaotendewa kama walivyokuwa wanahubiri. Hawakuwa wanaishia hapo tu kwan walitaka Pwani yote ya Bahari ya Hindi iwe chini ya Dola moja ya kiislam iongozwe na Sharia
Kitu kama hukijui, omba usaidiwe kukifahamu, sio ugonjwa. Kundi lililofanya ushenzi Kibiti, lililomtoa IGP Mangu, lile la mapango ya Amboni, kuna lipo lilikuwa Arusha na Mwanza yote yalinyamazishwa ila kuna kitu mpaka leo bado kinatupa mashaka. Kuna watoto zaidi ya 500 hapo Mkuranga na maeneo jirani walipotea, nikisema watoto sio wa shule ya msingi, wengi walikuwa wanaanzia umri wa miaka 14 mpaka 17.
Haijalishi sheria inavunjwa au haivunjwi hao waozee hukoKesi ya Uhaini ya miaka ya 1980's iliendeshwa wazi, kwa hoja za mahakamani, waliohukumiwa kufungwa walifungwa maisha na walioachiwa waliachiwa.
Sasa kama hao viongozi wa UAMSHO ni magaidi au Wahaini, na kama Ushahidi usio na shaka upo kwa nini kesi yao Ipigwe Kalenda miaka nane, Je wanawakwa ndani miaka yote hiyo kwa mujibu wa sheria ipi ya nchi?
Sasa huo ni ushabiki!Haijalishi sheria inavunjwa au haivunjwi hao waozee huko
Hivi Kati ua watu wa Tanganyika na Zanzibar watu wa aina gan ndio wananufaika na muungano?
Acheni serikali ifanye kazi, nchi kwa sasa imetulia, hatuwezi kuruhusu nchi kugeuka kuwa kama Somalia, mara mapango ya amboni Tanga, mara padri kapigwa risasi Zanzibar, mara kuvamia vituo vya polisi. Hii nchi mtu akishindwa kuishi kwa amani kuna njia za kumlazimisha kufanya hivyo.Waache tu waendeee kukaa.
Na wacha wanotetea waendeee kutetea.
Kama umebahatika kuwaangalia hio jana na ukaona sura zao ungehisi kama wapo happy kwa sababu fulani ingawa jela Sio nzuri
inawezekana walishapelekwa Guantanamo (just guessing) maana hakuna anayesema lolote juu yao
Wao ni zaidi wanakuja bara, ardhi wanapewa, umeme unatoka bara, kuna mambo mengi mno wanafaidika nayo, wabara wala hawana hata muda wa kulalamika.Wazanzibar
Kama wanastahili kifungo cha maisha kwa nini mahakama isihukumu hivyo mpaka leo wapo rumande tu na kesi haimaliziki?Kwa maelezo haya, wanastahili kifungo cha maisha gerezani, tuliokuwa tunawatetea kumbe tunatetea ujinga na Hatujui uhalisia.
Tanzania bara haipokei misaada kutoka nje? Au hawaombi kusaidiwa? Mpaka vyandarua mnasaidiwa hamuoni aibu mzee!!!!, hebu Acheni chuki bwana, au kwakuwa wale ni waislamu ndio muwakandamize!!! Yani nyie mngelikuepo enzi za ottoman empire aise mngefyekelewa mbali sana, maana wale walikua hawapendi dhulma au watu kuonewa onewa, haki haki! Yani Mna bahati
Watawala wanatupiana mpira mkuu, kila mmoja anahofia taswira yakeKama wanastahili kifungo cha maisha kwa nini mahakama isihukumu hivyo mpaka leo wapo rumande tu na kesi haimaliziki?