Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Endeleeni tena kuwamwagia tindikali Watanganyika wenzetu na Wakristu waishio huko Zanzibar halafu muone tutakacho wafanya.

Kama hamtaki Muungano tafuteni njia sahihi a kuukataa! Na siyo kuwaumiza raia wasio na hatia.
Machogo mna tabu sana hahahahahaha.

Mlisema Masheikh hawawezi toka kamwe hahahaah
 
Mimi binafsi namshukuru Mungu kwa hao ndugu kufutiwa mastaka yao, hata kama kweli walikua na sababu yoyote ya kuwa hapo walipokua lakini ninaamini kabisa mwanadamu ameumbwa kwa namna ya kujifunza.

Yamkini Kama sio wao hao mashaikh basi yupo ambae kwa kesi yao atakua amejifunza chochote kitu.

Siku zote ukiwa mtenda haki hata kama jamii itakuhukumu lakini haki itakutetea. Hii Ni kwa mamlaka na hata raia.
 
Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto[emoji2297][emoji2297]

Hivi haki ni nini hasa? Hawa wanaachiwa huru huku kuna watu waliumia kwasababu yao?
 
Mwache Magufuli peleka udini wako huko! Humtaji JK umekomaa na kumtukana JPM, mdini sana wewe au kwa vile JPM mkristo ndo maana unamtukana hapa? Not fear.
Ipo point tena kwenye uzi huu huu nimesema JK na yeye analo lawama lake kama baba yako Magu. Wote wawili.

Kunishtumu kwamba namuonea Magu ni kunionea mkuu.

Usinionee bureeeeee😀😀😀😀😀
 
Mkuu wapo CCM wengi tu ambao tunawajua/tunajijua kwamba walikuwa wakikataa uonevu huu. Baadhi walizisaidia hata familia za Masheikh juu ya mambo mbali mbali

..Sheikh Ponda na Tundu Lissu walipanda jukwaani na walihimiza bila uoga kwamba Mashekhe wa Uamsho waachiwe.

..Iko siku Watz watautambua mchango wa Lissu kama mtetezi wa wanyonge na walionyimwa haki nchi hii.

..Na linapokuja suala la HAKI Lissu huwa habagui rangi, kabila, chama, au dini.
 
Huu ni wakati wenu muafaka wa kujitenga na Tanganyika. Mtumieni Mzanzibar mwenzenu kufanikisha jambo hilo.

Binafsi naamini hata Zanzibar ikijitenga kesho, Tanganyika haina cha kupoteza! Zaidi mapato yetu yataongezeka! Maana tutaanza kuwatoza wengi wenu mnaoishi Tanganyika vibali vya kufanya kazi na kidi nyingine mbalimbali.
Mavi ya kuku

😂😂😂😂😂😂😂
 
Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto🙆‍♂️🙆‍♂️

Mbona hatujakuona kupeleka ushahidi polisi , unatoa povu JF tu ?
 
..Sheikh Ponda na Tundu Lissu walipanda jukwaani na walihimiza bila uoga kwamba Mashekhe wa Uamsho waachiwe.

..Iko siku Watz watautambua mchango wa Lissu kama mtetezi wa wanyonge na walionyimwa haki nchi hii.

..Na linapokuja suala la HAKI Lissu huwa habagui rangi, kabila, chama, au dini.
Ni kweli mkuu.

Ni kweli kabisa!
 
Mkawashauri sasa hao Masheikh wenzenu waishi kama dini yenu inavyotaka. Yale masuala ya kuhamasisha vurugu, utengano kwa kuwaumiza watu wasio na hatia, kumwagia watu wa imani tofauti tindikali, nk. Yalikuwa yanakiuka kabisa uvumilivu wa kiimani.

Kwani ndio mashitaka yao hayo ??
 
Na tangu hawa watu wahifadhiwe, hali ilikuwa shwari.
Magaidi wa msumbiji viongozi wake wengine wanatoke a Tanzania.
Leo hii, yanatukuta tena Watanzania.
Mungu Irehemu nchi ya Tanzania, maana bila Rehema ya Mungu kinachofuata ni kilio na kusaga meno.

Ilikuwa shwari kwa kupigwa risasi Tundu lisu na kuokotwa watu kwenye viroba COCO Beach ??
 
Halafu binadamu hatuna shukurani kabisa .Ukiangalia swala la muungano ni wazanzibari kwa kiasi kukubwa ndo wananufaika na huu muungano lakini eti hawautaki.wana haki ya kumiliki Aridhi ,kupata uongezi huku bara lakini ajabu bado wanadai wanaonewa.hii n ajabu kabisa na inabidi wajitafakali waache unafiki na kudeka.haikubaliki kabisa.Sisi ni ndugu inabidi tuishi kwa upendo maana umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
Wenyewe wazanzibari wanasema kwa mateso waliyopitia na wanayopitia hawana udugu na nyinyi. Ndugu zako hawawezi wakakufanyia hila mbaya namna hii.

Unapata wapi ujasiri wa kusema eti Wazanzibari ndio wanafaidika na Muungano huu?
 
Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto[emoji2297][emoji2297]
Sio wote walioachiwa. Ni 2 tuu ila wengine wataendelea kuwa rumande.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom