Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Mkuu, huoni kama ilitakiwa kama walifanya hayo kesi yao isikilizwe na iishe badala ya kuwekwa kizuizini miaka nenda rudi?!?
Nadhani kama ulishazaliwa kipindi cha 2012 na kuendelea utakuwa umeshuhudia mateso waliopata bainaadam na vifo kupitia vuguvugu za lililoanzishwa na hao jamaa, lakini kama utaona waliopata madhar walikuwa ni kunguni tuu na sii bunadamu utona poa tu wakiwa uraiani wakate waliowasababishia wanaozea makaburini
 
Naunga mkono hoja, jamii ina changamoto nyingi sana zinazohitaji mafundisho ili kuzitatua kuliko, kung'ang'ana kufundisha chuki dhidi ya wengine...
Shukrani wewe jaji wa mahakama kuu ya JF kwa uamuzi wako wa kuwaachia baada ya kuona makosa yao
 
Nadhani kama ulishazaliwa kipindi cha 2012 na kuendelea utakuwa umeshuhudia mateso waliopata bainaadam na vifo kupitia vuguvugu za lililoanzishwa na hao jamaa, lakini kama utaona waliopata madhar walikuwa ni kunguni tuu na sii bunadamu utona poa tu wakiwa uraiani wakate waliowasababishia wanaozea makaburini
Mbona hatujakuona muda wote kupeleka ushahidi wako Polisi??. Hujui kuwa unawapakazia ?? au amri kumi hazimo katika biblia yako ?? Ikiwa moja usitoe ushahidi wa uongo ??
 
Huyo pusha hawezi kuachiwa, mvua zinamsubiri.
Mamlaka zetu sasa chini ya utawala wa Mama Samia zinajitahidi kutenda haki. Nasema zinajitahidi na Mungu atawasaidia.

Mdude kama ameonewa pia atapata haki yake.
 
Hivi watu hawa walivyo wapiga watu risasi, wakawamwagia mapadri na watalii tindikali leo hii wanaachiwa bila hata case kumalizwa haraka......
Nafikir kwenye hili dini imehusika na wala si swala la ushahidi
Hatutaki tafakuri hapa. Tafakuri peleka huko kwenye vijiwe vyenu vya mbege.

Hapa tunataka ushahidi tu.
 
Wewe Mrundi kama hutaki kumuombea Mheshimiwa Rais wacha.

Kwanza maombi yako hayana msaada wowote. Sisi Watanzania tutamuombea maana ndio nchi yetu itapata neema kwa kuwa na rais muadilifu asiependa wananchi wake waonewe.
Kwahiyo huko jela waliyokuwa wanaonewa ni hao masheikh tu au hao ndio wananchi wake na wengine wote waliyobaki ni warundi kama mie ndio maana hajali wao kuendelea kuonewa?

Kama wengine wameachwa halafu wametolewa masheikh tu sasa hapo tutasema hao masheikh wametolewa kwa kutekeleza haki au wametolewa kwa sababu zengine?
 
Kikwete avimbe nini? hivi vikosi vile vya marekani vilivyo fanikisha kukamatwa kwa hawa watu vilikuwa vinawasingizia..... wale mapadre na watalii na masheikh walio kuwa wanatwangwa risasi wanajua umuhimu wa jk kwenye nchi hii na walishukuru sana alivyo thibiti hili janga...
Hawa ni magaidi tuu
Magaidi eeeeee???????

DPP metafuta ushahidi miaka 9 hajapata nyinyi mmekaa tu hamumsaidii, ama kweli mijitu nyinyi.
 
Naaam ama kwa hakika baada ya dhiki ni faraja.....waharakie sasa kuwatoa wote huko gerezani maana DPP kisha sema yeye kawafutia mashtaka yote! Lakini sasa najiuliza nini maana ya kuwafutia mashtaka, ni kuwa hawana hatia kwa kile walichoshtakiwa?

Au hakuna ushahidi wa mashtaka hayo? na je sasa tumuachie Allah ahukumu kwa muda waliopotezewa kwa kuwekwa mahabusu, au wadai fidia?....
 
Kama ambavyo Jiwe alimvyomsamehe Babu seya alisemwa sana, na kama Jiwe ndio angewatowa hao masheikh nadhani ingeonekana ni udikteta wake ndio uliyomfanya afanye hayo maamuzi.

Jiwe alimsamehe babu seya , wakati babu seya alishahukumiwa na mahakama. Hawa masheikh hata hiyo kesi ya kujibu hakuna. NI dhuluma kwenda mbele na serikali hii ya uvamizi ya Laanatullahi Nyerere na warithi wake
 
Kwahiyo huko jela waliyokuwa wanaonewa ni hao masheikh tu au hao ndio wananchi wake na wengine wote waliyobaki ni warundi kama mie ndio maana hajali wao kuendelea kuonewa?

Kama wengine wameachwa halafu wametolewa masheikh tu sasa hapo tutasema hao masheikh wametolewa kwa kutekeleza haki au wametolewa kwa sababu zengine?
Suppose Mama Samia ni muovu. Tufanye anapendelea, bible inatufundisha waive tuwaombee. Wewe nakwambia tumuombee Mheshimiwa rais wewe unaniambia tumuombee Sisi tu kwa maana hutaki kumuombea. Kwa style hiyo ni lazima niwe na mashaka kama kweli wewe ni Mtanzania.

Kuhusu hao wengine walioachwa ambao wewe unawajua sana hebu tutajie na Sisi tutafanya jitihada kufikisha majina yao kwa DPP ili nao kesi zao zishughulikiwe kwa haraka.

Usituletee tu umbea umbea tuletee majina na mimi binafsi nakuahidi through my own ways ntajitahidi kama mwananchi kupaza sauti yangu wapate haki zao.
 
Ugaidi ni upepo umepita kama itakavyopita corona.


Gaidi kuu ni CCM , ndilo linaloiba kura , kuuwa watu na kupora mali za watu kila unapofika uchaaguzi. Hili ni la kushughulikiwa kwanza.

Nalo kuna siku litapita kama itavyopita Corona
 
Back
Top Bottom