Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Ninachoona mama ameishiwa ushawishi anatafuta mileage ya kisiasa.. Muda unavyokwenda makonda atakamatwa nae.. We mpaka mafisadi wakina Singh wameachwa huru
 
Nawahurumia wake zake zao jamaa usiku wa kwanza kulala nyumbani maana mashekhe wana kutu sio poa
 
Nyamazisha bakuli hilo.

Si mlisema wanatakiwa wasitoke milele????

Tuacheni tunaandaa sherehe maalum Zanzibar huku.
Eti??!

Aisee huku wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama wamepanguliwa na kuwekwa wa kutoka kulee...

Ujuwe mama imemgharim pia kuwatoa..lkn ..veting itakuwa kubwa..

Kosa moja..usingizi hapo hapo...

Mmh...

Ngoja tuone mkuu..tusipake rangi upepo...
 
[emoji117]Unakaa jela zaidi ya miaka 9,unateseka weee familia inakosa huduma yako kwa muda wote huo
[emoji117]Baada ya miaka mingi kupita DPP Anafuta kesi yako na kukuruhusu uende nyumbani
[emoji117]Unaenda nyumbani ukiwa umeathirika ki saikolojia, biashara zako/kazi zinakuwa zimekufa na muda mwingine huna pesa kabisa hivi unaishije?
[emoji117]Huwa kuna kesi hazina dhamana mtu anakaa jela wee halafu baadae anashinda kesi au DPP anafuta hiyo kesi huyu nae anaambiwa aende nyumbani tu huko anaenda kuishije?
[emoji117]Wataalamu hebu mnisaidie huwa wanapewa pesa kufidia muda walio kaa gerezani?au wanaachwa tu? Kama wana waachwa tu hili liangaliwe wawe wanapewa fidia
[emoji117]Mtu anakaa gerezani miaka sita mfano kesi ikiwa anaendelea mwaka wa saba anapewa hukumu ya kufungwa miaka 15 jela(mfano)..je kuna fidia ya ile miaka sita aliyo kaa kabla ya hukumu?

~Karibuni
 
Hivi watu hawa walivyo wapiga watu risasi, wakawamwagia mapadri na watalii tindikali leo hii wanaachiwa bila hata case kumalizwa haraka......
Nafikir kwenye hili dini imehusika na wala si swala la ushahidi
Samia ni mdini.ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea.shame!
 
Mtu anakaa gerezani miaka sita mfano kesi ikiwa anaendelea mwaka wa saba anapewa hukumu ya kufungwa miaka 15 jela(mfano)..je kuna fidia ya ile miaka sita aliyo kaa kabla ya hukumu?

~Karibuni
Hapo ni: 15 - 7= 8
Miaka atakayofungwa ni minane.
 
Lipo jambo
Wakati mwingi sherehe hugeuka vilio
Ni swala la muda mtagundua jambo
Majuto atakuwa mjukuu
Mtashangazwa
Endeleeni kupiga makofi
uamsho kwanza
Wapinzani mtasubiri sana
Majuto gani tena jamani????
 
Eee..!.Mungu Baba Mwenyezi twakuomba uliepushe taifa letu lisije tena likapata watawala dhalimu kama jiwe milele na milele sio leo,kesho na hata vizazi vyetu vijavyo.

Nafunga katika Jina la YESU jina kuu kuliko majina yote.Nikiomba na kuamini hakika hakuna kiongozi dhalimu tena ataketokea katika taifa hili katika Jina la YESU Kristo ulie hai.! Nateketeza kwa moto ulao !

roho zote chafu za viongozi kama Sabaya bashite zisiinuke tena katika taifa hili milele na milele.Tukiomba na kuamini.Na KILA mmoja na aseme.Amee...ni !
Amen
 
Hakika wote walioonewa na Yule mwovu bila kuangalia vyama na udini wawe huru. Tujenge nchi wote Kwa upendo kila mmoja na mchango wake.
Hakika mkuu.

Mimi naamini kwamba neema zaitakuja tu. Na ndio maana tunasisitiza kwamba Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Bado waliopo Mahabusu kwa makosa ya Kisiasa nao tunatamani kusikia wakiwa Huru
Watakuwa mkuu.

Siku chache zilizopita DPP alipokuwa ukonga aliongea na wafungwa na mahabusu na kuahidi kushughulikia hili tatizo.

Walioonewa nawapa pole sana lakini wasikate tamaa. Mungu ametupa kiongozi mwenye huruma, msikivu, mpole, asiependa watu waonewe na mpenda haki.

Mambo ni mingi muda mchache ila naamini kila aliyeonewa atapata haki yake
 
Back
Top Bottom