Suppose Mama Samia ni muovu. Tufanye anapendelea, bible inatufundisha waive tuwaombee. Wewe nakwambia tumuombee Mheshimiwa rais wewe unaniambia tumuombee Sisi tu kwa maana hutaki kumuombea. Kwa style hiyo ni lazima niwe na mashaka kama kweli wewe ni Mtanzania.
Kuhusu hao wengine walioachwa ambao wewe unawajua sana hebu tutajie na Sisi tutafanya jitihada kufikisha majina yao kwa DPP ili nao kesi zao zishughulikiwe kwa haraka.
Usituletee tu umbea umbea tuletee majina na mimi binafsi nakuahidi through my own ways ntajitahidi kama mwananchi kupaza sauti yangu wapate haki zao.