Nadhani kama ulishazaliwa kipindi cha 2012 na kuendelea utakuwa umeshuhudia mateso waliopata bainaadam na vifo kupitia vuguvugu za lililoanzishwa na hao jamaa, lakini kama utaona waliopata madhar walikuwa ni kunguni tuu na sii bunadamu utona poa tu wakiwa uraiani wakate waliowasababishia wanaozea makaburiniMkuu, huoni kama ilitakiwa kama walifanya hayo kesi yao isikilizwe na iishe badala ya kuwekwa kizuizini miaka nenda rudi?!?
Shukrani wewe jaji wa mahakama kuu ya JF kwa uamuzi wako wa kuwaachia baada ya kuona makosa yaoNaunga mkono hoja, jamii ina changamoto nyingi sana zinazohitaji mafundisho ili kuzitatua kuliko, kung'ang'ana kufundisha chuki dhidi ya wengine...
Mbona hatujakuona muda wote kupeleka ushahidi wako Polisi??. Hujui kuwa unawapakazia ?? au amri kumi hazimo katika biblia yako ?? Ikiwa moja usitoe ushahidi wa uongo ??Nadhani kama ulishazaliwa kipindi cha 2012 na kuendelea utakuwa umeshuhudia mateso waliopata bainaadam na vifo kupitia vuguvugu za lililoanzishwa na hao jamaa, lakini kama utaona waliopata madhar walikuwa ni kunguni tuu na sii bunadamu utona poa tu wakiwa uraiani wakate waliowasababishia wanaozea makaburini
Mamlaka zetu sasa chini ya utawala wa Mama Samia zinajitahidi kutenda haki. Nasema zinajitahidi na Mungu atawasaidia.Huyo pusha hawezi kuachiwa, mvua zinamsubiri.
Hatutaki tafakuri hapa. Tafakuri peleka huko kwenye vijiwe vyenu vya mbege.Hivi watu hawa walivyo wapiga watu risasi, wakawamwagia mapadri na watalii tindikali leo hii wanaachiwa bila hata case kumalizwa haraka......
Nafikir kwenye hili dini imehusika na wala si swala la ushahidi
Kwahiyo huko jela waliyokuwa wanaonewa ni hao masheikh tu au hao ndio wananchi wake na wengine wote waliyobaki ni warundi kama mie ndio maana hajali wao kuendelea kuonewa?Wewe Mrundi kama hutaki kumuombea Mheshimiwa Rais wacha.
Kwanza maombi yako hayana msaada wowote. Sisi Watanzania tutamuombea maana ndio nchi yetu itapata neema kwa kuwa na rais muadilifu asiependa wananchi wake waonewe.
Vile walikufanyia kitu gani ambacho umeshindwa kwenda Polisi kueleza ??Wakatulie sasa.
Wasirudie safari hiiWakatulie sasa watakuwa wamejifunza. Wakianza tena tutawachukua tena.
Magaidi eeeeee???????Kikwete avimbe nini? hivi vikosi vile vya marekani vilivyo fanikisha kukamatwa kwa hawa watu vilikuwa vinawasingizia..... wale mapadre na watalii na masheikh walio kuwa wanatwangwa risasi wanajua umuhimu wa jk kwenye nchi hii na walishukuru sana alivyo thibiti hili janga...
Hawa ni magaidi tuu
Kama ambavyo Jiwe alimvyomsamehe Babu seya alisemwa sana, na kama Jiwe ndio angewatowa hao masheikh nadhani ingeonekana ni udikteta wake ndio uliyomfanya afanye hayo maamuzi.
Tulia weweeeeWaende tena wakaanze mahubiri yao uchwara ya kuwafanya watanzania wote wawe waislamu hadi kupelekea mapdri kuanza kuchinjwa na magaidi ya kibiti
Usije tu kukimbia humu na chupi kichwani! Nakutahadharisha tu mapema.
SheinHapo Kikwete atakuwa kavimba kama chura
Achana nao wamejaa udini tu hawana jipya badala ya kumtaja Kikwete wanamtaja Magufuli.
Suppose Mama Samia ni muovu. Tufanye anapendelea, bible inatufundisha waive tuwaombee. Wewe nakwambia tumuombee Mheshimiwa rais wewe unaniambia tumuombee Sisi tu kwa maana hutaki kumuombea. Kwa style hiyo ni lazima niwe na mashaka kama kweli wewe ni Mtanzania.Kwahiyo huko jela waliyokuwa wanaonewa ni hao masheikh tu au hao ndio wananchi wake na wengine wote waliyobaki ni warundi kama mie ndio maana hajali wao kuendelea kuonewa?
Kama wengine wameachwa halafu wametolewa masheikh tu sasa hapo tutasema hao masheikh wametolewa kwa kutekeleza haki au wametolewa kwa sababu zengine?
Ugaidi ni upepo umepita kama itakavyopita corona.