Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Msiione haki kwa upande mmoja tu kutaka nyie mpewe zaidi ya wengine, huo ni ubinafsi, aina ya mahubiri mliyotoa yalihamasisha chuki zilizowaumiza wengine ambao nao wana haki zao, baada yenu kuwekwa ndani hali ikatulia...
Wewe una hakika unaona pande zote mbili?
 
Kiusalama wewe unatakiwa uende mahabusu ukakae 7 solid years then uachiwe baada ya hiyo miaka kwa kua ushahidi utakua hakuna.
Bladful,
Nyie ndio mlikua mmefunga shughuli za kisiasa kwa vyama vya upinzani mkidai sababu za ki integensia, sababu za ki usalama bludful kumbe mnakula keki ya kitaifa kimya kimya.
achana na hao wenye laana za mama zao
 
Kiusalama wewe unatakiwa uende mahabusu ukakae 7 solid years then uachiwe baada ya hiyo miaka kwa kua ushahidi utakua hakuna.
Bladful,
Nyie ndio mlikua mmefunga shughuli za kisiasa kwa vyama vya upinzani mkidai sababu za ki integensia, sababu za ki usalama bludful kumbe mnakula keki ya kitaifa kimya kimya.
Hapana na Mimi nimpenda haki lakin tuache muda utaongea
 
Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto🙆‍♂️🙆‍♂️
Kazi iendelee
 
Kwann uulizie utawala uliowakuta badala ya uliowafunga.Anza na wale viongozi wa zenji waliowatupia huku badala ya kuwaacha huko zenji. Jiwe hausiki hapa.
Utawala wa Magu ulikuqa wapi kufatilia ukweli wa mambo hadi alipotupwa kuzimu ndio wamepata nafuu.
 
Maskini machozi ya yule padre aliyemwagiwa tindikali, yule shehe mwenye asili ya tanga aliyemwagiwa tindikali, yule polisi aliyechinjwa hapo mwanakwwrekwe, wataliinwaliokuwa wanamwagiwa tindikali, makanisa yaliyokuwa yanachomwa , bar, pamoja na mabucha ya kitimoto🙆‍♂️🙆‍♂️
Ukimaliza hayo uloyataja wataje kina Ben Sanane, na wengine wooote, usisahau wale wa kimara na mbezi walovunjiwa nyumba kwa nguvu na wengine kuaga dunia,........ukimaliza halafu jiangalie kwenye kioo upige kifua kua wewe unayajua yote yaliyotokea.
 
Na tangu hawa watu wahifadhiwe, hali ilikuwa shwari.
Magaidi wa msumbiji viongozi wake wengine wanatoke a Tanzania.
Leo hii, yanatukuta tena Watanzania.
Mungu Irehemu nchi ya Tanzania, maana bila Rehema ya Mungu kinachofuata ni kilio na kusaga meno.
Ugaidi ni upepo umepita kama itakavyopita corona.
 
Mashekh wangu aluta Continua,
Madai ya Zanzibar yenye Mamlaka yake katika Muungano yako pale pale.
Kapumzikeni kidogo, karibuni ttaliamsha tena Dude, kwani Zanzibar bado imekaliwa kmabavi,Labda Huyu Bi kubwa afanye mndingo yake kuikwamua.
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar

Tukipata mapato tugawane sawa sawa,
Kama Hamtaki nendeni mukaungane na Kongo ikiwa sisi munatuona wadogo, Wle ndio saizi yenu.
 
Wazee wa dola ya Kiislamu itasimama nawasalimia kwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Jibu: kazi iendelee
 
Kama ambavyo Jiwe alimvyomsamehe Babu seya alisemwa sana, na kama Jiwe ndio angewatowa hao masheikh nadhani ingeonekana ni udikteta wake ndio uliyomfanya afanye hayo maamuzi.
jiwe hatetewi usipoteze muda wako. Unafata maneno ya watu au unazingatia haki? halafu watu wakikushauri ndio utukane?
 
Back
Top Bottom