Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Msiione haki kwa upande mmoja tu kutaka nyie mpewe zaidi ya wengine, huo ni ubinafsi, aina ya mahubiri mliyotoa yalihamasisha chuki zilizowaumiza wengine ambao nao wana haki zao, baada yenu kuwekwa ndani hali ikatulia.

Mkajifunze kuheshimu haki za wengine kama nyie mnavyotaka haki zenu ziheshimiwe, msijione bora zaidi ya wengine mpaka kuwasababishia maumivu ya aina yoyote.

Mmefurahi kutoka jela ila mjue sasa mna jukumu la kulinda raia wengine wasio wa imani kama yenu, muache mihemko, fanyeni yenu muwaache wengine wafanye yao kwa uhuru wao, hii Tanzania ni yetu sote, hakuna alie juu ya mwingine wala hatakuwepo.
Mbona hukupeleka ushahid Mahakamani kwa kipindi cha miaka Kumi NYINYI ni madhalimu washenzi but haki huchelewa lkn hupatikani

Munawazuia watu miaka Kumi kwa kesi za ujanja ujanja kisa chuki zenu dhidi ya ZANZIBAR kwa taarifa yako mateso haya mnayotufanyia ndio yanayotuleta pamoja zaid

Ushindi wa wazi wa Maalim Seif alioupata 2015 kisa ni hawa masheikh

WAKOLONI WEUSI TUACHENI TUPUMUWE
 
Bora mkoloni mzungu kuliko hawa washenzi wakoloni weusi. Ni mashetani
 
Tunaomba vyombo vyetu, POLISI, DPP na MAHAKAMA visijihusishe na tabia ya kuwaonea raia na kukandamiza haki za watuhumiwa.
kesi hii ni mfano mbaya wa ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za watuhumiwa.
miaka 8 watu wamekaa rumande, huku nyimbo za upelelezi hauja kamilika zikiimbwa!!! na wengine wamefumba macho kama vile hawaoni haki zina kiukwa.
hili lisijirudie tena, maaana inaonekana kama sio uwezo wa Mungu wangekaa mahabusu zaidi ya miaka 8.
 
Naulizia hivi;

Je huko gerezani hakuna wengine ambao wamekaa zaidi ya muda huo ?

Je nao wametolewa?

Kama ni haki inapaswa kutolewa kwa watu wote hata wasio amini yani wapagani ilimradi ni binadamu wameumbwa na Mungu.
Sisi tuliwapigia kelele kuhusu hawa mashekhe nanyi pigeni kaelele hao wapagani waachiwe.
 
Tunaomba vyombo vyetu, POLISI, DPP na MAHAKAMA visijihusishe na tabia ya kuwaonea raia na kukandamiza haki za watuhumiwa.
kesi hii ni mfano mbaya wa ukiukwaji na ukandamizaji wa haki za watuhumiwa.
miaka 8 watu wamekaa rumande, huku nyimbo za upelelezi hauja kamilika zikiimbwa!!! na wengine wamefumba macho kama vile hawaoni haki zina kiukwa.
hili lisijirudie tena, maaana inaonekana kama sio uwezo wa Mungu wangekaa mahabusu zaidi ya miaka 8.
wale 247 waliotajwa na Polisi walibambikiwa kesi soon watakuja tule nao mahindi hapa dumila.
 
Iwapo kuna watu wengine ambao pengine wamekaa muda mrefu kuliko hao na ambao mwenendo wa kesi zao na uchunguzi haukamiliki na ushahidi n.k lakini wameachwa nawashauri wenye Mamlaka mrudieni Mungu na kumuogopa kwa kutenda haki.

Ili isijekuonekana hao mmewatoa shauri ya dini yao.

Haki huinua Taifa.

Mngeita wote ambao wame overstay na kuangalia mwenendo na status ya mashauri yao kisha kuona kama nao waachiliwe au la bila kujali dini zao na hata kama hawana dini lakini hawakujiumba kuna Mungu kawaumba badi tumuheshimu huyo Mungu alowaumba kwa kuwatendea haki.
 
sasa watatokea chagadomo na kumbebesha lawama mwendazake utadhani yeye ndo aliwafungia ndani...ifikie sehemu usalama wa nchi uwe zaidi ya dini,kabila wala jinsia..big up kikwete..big up magufuri..hope mama samia kuwatoa hawa ndugu zake amewaonya waende wakatulie na kulea watoto wao..hii nchi ni zaidi ya mtu mmoja mmoja
 
Jamaa roho inakuuma kwa haki kutendeka?? 😅😅😅Leo tunapiga gambe mpaka pakuche. We endelea kununa
Mimi sina tatizo na hao Masheikh kutoka. Maana sihusiki kwa namna yoyote ile na hiyo ishu yao. Huyo mpuuzi amenitukana, kisa tu nimetoa maoni yangu.

Nimemtahadharisha tu mapema kwa sababu nina desturi ya kujibu mashambulizi.
 
Tumshukuru Mungu kwq yote .

Pamoja na yote, kuna wakati Serikali inajua mengi kuliko tunavyojua....ila tufahamu tu sio yote serikali inaweza kutuambia raia....la msingi ni kuhakikisha Serikali inaishi kwa haki ili raia wake waiamini pasipo shaka nayo...
 
Wacha ujinga wacha chuki pumbavu miaka Kumi mnatesa watu bila sababu kina Babu seya muliwaachia ndugu zetu mwawatesa bila sababu yoyote
Aisee! Basi sawa. Endeleeni kusherehekea. Ila mkiendelea na ule upuuzi wenu wa kuwamwagia watu tindikali, safari ijayo tutawapoteza kabisa.
 
HAKI....ikitawala ktk Taifa huinua taifa juuu......na dhuluma na uonevu ukitawala hulididimiza na kuliangamiza Taifa.
jambo la msingi walio pewa dhamana watende haki kwa watu wote bila ubaguzi.
Taifa hili ni la watanzania wote hakuna aliye bora zaidi ya mwengine, sisi sote ni watanzania tutendeane haki.
 
Mimi sina tatizo na hao Masheikh kutoka. Maana sihusiki kwa namna yoyote ile na hiyo ishu yao. Huyo mpuuzi amenitukana, kisa tu nimetoa maoni yangu.

Nimemtahadharisha tu mapema kwa sababu nina desturi ya kujibu mashambulizi.
Umechukia kutolewa kawarejeshe basi Ili uendelee kufualrahi
 
Back
Top Bottom