Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.
Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowaamrisha kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.
Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.
Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.