Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umeona ilivyo gharama?Sijaona point ya msingi
Phd ni ada tu watu wanashindwa mudu
Hata hao jamaa bila ufadhili wasingetoboa
Alafu usichokijua unaweza ukawa na phd na ukawa mpuuzi tu, tunao wapuuzi kibao na mnawaita wasomi
Kwahiyo kipoozeo ndio kgezo cha kukashifu washekh wote??Hawajui vitu..elimu,elimu...sasa mnakusanyika kumsikiliza mtu kama yule Kipozeo..muda wote makalio tu
Kabisa, tatizo watu wanashindwa kumtambua adui ni nani kwenye hili Sakata la Mkataba wa Bandari.Bro issue siyo tamko pekee, je wanahoja ya maana ya kutolea tamko?? Kwani tec wametoa tamko la kupinga uislamu? Kama masheikh wanaungana na tec kutoa tamko la kupinga mkataba wa DP itakuwa saf Sana. Hizi hoja za kuchonganisha dini ni ujinga wa juu mno. Sisi ni Watanzania,anayeuza nchi ndiyo adui wetu na si hoja za maaskofu na masheikh wala ukristo na uislamu.
Wakiingiza siasa katika kutetea DP World maana yake ni kutaka Tanganyika iwe koloni la Dubai.Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.
Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowaamrisha kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.
Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.
Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Magaidi hawana uwezo wa kuandika waraka.
Mtu mwenye aya moja tu kichwani ni bora kuliko TEC yote kwa sababu ana matamko ya Mungu sio matamko ya watu yenye kufata matamanio.Hawajui vitu..elimu,elimu...sasa mnakusanyika kumsikiliza mtu kama yule Kipozeo..muda wote makalio tu