the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 865
- 707
Ndio wale degree na PHD holders waliopata mgao kwenye escrow??😀😀😀Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.
Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.