Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Mtoa mada wewe unakubali bandari iuzwe?
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
 
Hapa ndipo utajua mungu wa waislam na wakristo ni zuzu yaan siku zote nchi ilikuwa katika dhulma hawajasema mpka sehemu kwenye maslahi fulani ndipo wanajifanya wanasema unafki ulioje sisi wa Maisha ya duniani tunawaona Mungu wa wakristo na Mungu wa waislam ni mnafki sijapata kuona anachagua mambo ya kusemea dhambi za nchi zote zilizofanywa na serikali miaka yote walikuwa kimya huyu Mungu ni Mungu wa namna gani 😂😂😂
 
Inabidi Waislam tuongie kwenye siasa tukitaka tusitake.

Kwanza Waislam kura zetu zisiende kwa siyekuwa Muislam yoyote. Pili tupandishe wagombea wetu kila sehemu, tusiache mwanya
Waislamu wa Zanzibar kura zote ni ACT, huwapati kwenye chama chako cha CCM
 
Mbona watu wepesi wa kusahau?
Masheikh wakileta za kuleta Segerea inawasubiri. Hata wakiwa Pemba watanyanyuliwa na kuhifadhiwa Segerea.
TEC wanamaliza Mambo Yao bila kutumia masabufa.
 
Sasaa hivi udini ni wazi wazi, huwaoni maaskofu?
Maaskofu wameiandikia serikali waraka na si udini uwege na akili.Mbona wakati wa Nape,Makamba na Kinana walipokuwa wakimsema Magufuli watu hawakusema.wanamsema kwa kuwa ni Mkristo?Wanaojificha kwenye kivuli cha udini wanafahamika
 
Hawa wenye elimu wamegundua nini?Hata njiti za kibiriti hawajui kutengeneza.Elimu unazaliwa nayo,waweza kusoma usielemike.
Leo Algebra(muislamu)huyu hakuwa na Ph D,lakini bila Algebra leo dunia ingekuwa gizani.IT yote inategemea Algebra(muislamu),na bado hatujamtaja Avecina(ibn Sin)muislam na Bado Muhammad Alkhawarizzim(muislamu).
Haya hao wenye Ph D,wamegundua nini,zaidi ya kelele nyingi.
Mbona hawafiki kumi ndugu yangu?Aliyegundua simu unayochezea saa hivi no dini gani?
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Kwani waislamu hawatetei rasilimali za nchi? Tamko la TEC sio la kidini ni la kizalendo.
 
Kuna kitu kidogo tu CCM na Serikali yake mmepelekea kutufikisha huku, kwa kuwa Serikali inasema Bandari hii hawajaigawa au kuikodisha milele, basi mnalazimisha nini kuendelea na mkataba huo unaolalamikiwa? Wananchi na raia wenye nia njema wameona kabisa hatari ya Mkataba huo nyinyi mnakomas tu kuwa watu wanapotosha.
Hakuna swali la msingi CCM na Serikali yake imelijibu, Ukomo wa hayo mnayoita makubaliano ni wapi? Msitupige flash eti mikataba midogo midogo itaweka ukomo, Kwani Kuna dhambi gani hayo makubaliano yakasema kuwa kwenye mikataba tutakayoingia haitazidi miaka fulani? Pili, kama swala hili lina maslahi mapana kwa Taifa letu, tupeni sababu moja tu kwanini Bandari ya Malindi Unguja haipo? Kwa maana katika watu wasiotaka mkataba huo yupo Rais Mwinyi mnayeshinda naye kwenye vikao vyenu na baraza la Mawaziri, anzeni kumuelewesha huyo mwenzenu akubali hiyo faida ya DP WORLD.
Mimi sijawahi kuwa upande wa TEC ila kwenye hili la DP nawaunga mkono, na kama mnataka kuwaona kama ni wanafiki rekebisheni hizo kasoro tuone unafiki wao.
Lakini CCM mmetutia aibu kubwa mno, yaani utetezi wenu eti Bandarini Kuna wapigaji...hivi nyie watu mna akili timamu kweli? Hao wapigaji wapo nchi gani? Kwa maana yake nyinyi mmeshindwa kudhibiti rushwa? Mmeweza kumkamata Mdude ila mmeshindwa kuwadhibiti wezi Bandarini Sasa mnataka msaidiwe na DP WORLD...idiots!
CCM mmeacha Rais aingie kwenye hili la udini, na Waislamu wenye akili washajitenga na hii dhambi kwa kisingizio cha udini.
Kuna waarabu na Uislam, waarabu wapo malaghai pia, msihusishe huu ujinga wao na dini.
Hakuna sehemu Uislam unaruhusu unyonyaji na waarabu sio watakatifu kiasi kwamba tuingie mkenge kwenye huu ulaghai wao.
Hapa sio Uislam dhidi ya Ukristo bali ni ulaghai wa CCM dhidi ya Nchi yetu, CCM hata ikiongozwa na dini gani inabaki kuwa adui na kichaka cha wizi. Samia abaki kuwa Muislam na nchi yetu ibaki kuwa Tanzania.
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Watoe matamko hamna aliyewakataza
 
Maaskofu wameshafanya kazi yao maneno yao ni mepesi tu ila mazito Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu sasa sijui sauti ya hao mashee wenu itakua sauti ya nani...
Nakumbuka kuna shehe mmoja Mwaipopo alipiga biti kwa yeyote atakayehudhuria mkutano wa kupinga huu mkataba uchwara sijui atasomewa nini ili Afe..

Sio kwamba mashee hawajasema wamesema ila hakuna hoja hata mmoja wameamua nao kuchukua vipande 30 vya fedha na kuwauza watu wao.

Kama mashehe wanaona ni Sawa hayo ni mawazo yao ila viongozi wa Kiroho wa Kikatoliki wameona HAPANA Kubwa.
Ahadi za tende na nyama ya ngamia mkuu ndio inawapa shida ndugu zetu.
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Kuna masheikh Wana hizo PhD zako kibao,usifikiri elimu ya dini ya kiislamu ukiisoma utashindwa kutawala sehemu yeyote duniani...mfano mdogo Ni hao kina Mazinge akisimama kwa hoja Baraza Zima la Tech linakalishwa na hizo PhD zenu za hovyo.
 
Hawana elimu wamesoma Qur'an tu, kwani kusoma hiyo Qur'an siyo elimu? Wewe ukiamka unakula ngano ya Bakhresa, unakunywa maji ya Bakhresa, unaangalia timu yako ya utopolo kupitia Azam ambayo ni Bakhresa. Unajaza wese gari yako kupitia mafuta unayonunua kwa Oilcom, Lake Oil, Mount Meru nk. Unapikia mihogo yako kupitia gas za haohao, unafurahia Yanga kupitia uwekezaji wa GSM. Hao wote wamesoma hiyo Qur'an unayoona hauna maana. Sasa kati ya wewe uliosoma Lenzi mbinuko na Lenzi mbonyeo nani elimu yake ina impact? Infact, elimu zenu ziko kwenye ujinga tu na ufisadi.
Hao wote uliowasema na huo utajiri wao walivyoupata, kwa hakika tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita tundu la sindano ,bila sisi kula hizo chapati zao na kupikia gas zao si nao wangekuwa malofa tu sisi ndio tumewatajirisha mkuu.
 
Huna hoja,Bakheresa akisitisha uzalishaji,Mo,Azania na hao wengine waliotajwa na Nani ataathirika.
 
Ukitaka kujua RC in taasisi imara inaongozwa kisomi angalia mifumo yao na jinsi inavyojiendesha.Kwaio tuache kujadili udini tuangali hili swala kwa maslahi mapana ya taifa.
Eti kisomi,msomi anaabudu sanamu la mtu,kwa akili ya PhD kabisa unaweza kuabudu sanamu la yule mama mnaemwita Bikira Maria, na Mwanae mnaemwita Yesu?
Miaka 2000 iliyopita Kamera man gani? Aliendikwa kwenye biblia aliyempiga picha Yesu na Mama yake na nani aliyehifadhi zile picha mpaka leo,mpaka mnatengeneza na masanamu yao mnayoyaabudu na PHD zenu?
 
Haya njooni enyi kondoo mliopotea mtuambie hizi picha mnazoziweka makanisani mwenu na kwenye Rozali Nani alizipiga au kuzichora?
Mtupe ushahidi wa ngazi ya PHD Kama huyu Ni Yesu na Mama yake Maria mnao waabudu
images (6).jpeg
 
Back
Top Bottom