713
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 354
- 776
Nilicho muelewa mleta hoja kinachotengenezwa ni cheche tu ili mlipuko utokee Yan machafuko na maana Kila Kona nadhan imeshindikana kutokana na asili yetu ila kama siasa ikiingia kwenye Dini Ina maana ipo siku pata tokea machafuko ambayo yatajikita Kwa minajili ya kulinda rasilimali zetu kupitia Dini ila ukweli ni tunatengenezewa njia ya kuchapana na wenye faida Yao waje wafanye Yao baada ya ujinga wetu wa udini na Kwa vile vijana wengi hawaoni kesho wanakuwa ni wafata upepo
Viongozi hao hao wadini wamekuwa wakiungana kuiombea nchi au shuhuli mbali mbali wameshindwa vipi kuungana na kuomba kuonana na Rais wakatoa Yao ya moyoni na kupendekeza Nini kifanyike kabla ya kuleta Kwa wanachi