Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Kama zilizokaa na kutoa huo walaka ni PhD

Am hereby to address that PhD its piece of paper and am hereby to confirm that its simple to have educational badge but not being educated [emoji1787]
Umeongea kikatoliki hapa ujue....
Rudia sasa kwa kiislamu😃
 
Hivi hamna kingine mpaka sasa cha kusema zaidi ya huu ujinga wenu?!!! Mtu analeta hoja ya maana tu mmekamatia huo ujinga wa kujihisi wasomi. PhD zipo ngapi na zimeleta nini?!!! We unafikiri hizo PhD zao zimewaongoza vema kwenye hili?!!!!!!!! Hapa wamekosea sana sana sana sana!!!
Ukitaka kujua RC in taasisi imara inaongozwa kisomi angalia mifumo yao na jinsi inavyojiendesha.Kwaio tuache kujadili udini tuangali hili swala kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Inabidi Waislam tuongie kwenye siasa tukitaka tusitake.

Kwanza Waislam kura zetu zisiende kwa siyekuwa Muislam yoyote. Pili tupandishe wagombea wetu kila sehemu, tusiache mwanya
Waislamu ninaowajua mimi wakaipigie CCM. Kwa taarifa yako linapokuja suala la uchaguz huku mtaan tunajuana. Kama njaa tunashinda wote na kula tunagaiana wote so tunamjua tunaemchagua
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
kama wanajibu hoja za kwenye waraka, kuna shida gani? ila sio kumshabikia mwarabu mungu mtu wao.
 
Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa
Mimi nashauri wasichanganye Siasa na dini bali wachanganye dini na Uchumi na ulinzi wa nchi wala hakutakuwa na shida.
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Wafanye tu
 
Umeeleza ukweli mtupu.
 
Haujui ulichokiandika.Pole sana kwa ujinga wako.
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Hawa wenye elimu wamegundua nini?Hata njiti za kibiriti hawajui kutengeneza.Elimu unazaliwa nayo,waweza kusoma usielemike.
Leo Algebra(muislamu)huyu hakuwa na Ph D,lakini bila Algebra leo dunia ingekuwa gizani.IT yote inategemea Algebra(muislamu),na bado hatujamtaja Avecina(ibn Sin)muislam na Bado Muhammad Alkhawarizzim(muislamu).
Haya hao wenye Ph D,wamegundua nini,zaidi ya kelele nyingi.
 
Ndugu zetu Waislam wana tatizo kubwa la kuwa na viongozi wenye uelewa duni, tatizo linaanzia hapo!
 
Mbona Kuna waaarabu wengi tu ambao ni wakristu?? Hapa tunachoongalia ni nchi yetu maslahi yetu urithi wetu.. Mimi mwenyewe sifajiliii Dini Sanaa zaidi ya kifajilia mama Tanzania
 
Mleta mada upo sahihi, ila tatizo ni hawa watu hawawezi kukubaliana na wewe kamwe, na sababu ni ileile iliyowafanya hata viongoziwao waende kutoa matamko makanisani(ndivyo akilizao zilivyo) wameshakuwa brainwashed.

Ila ujumbe wameupata.
 
viongozi wa kiroho wakitoa maoni yao kupitia mikutano ya hadhara, wanachanganya dini na siasa, wakitoa maoni yao kupitia makinisa bado wanachanganya dini na siasa facken kabisa wewe,
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Haya Ni Maoni Yako unaijua Tec ww?
Unaijua Vatican yenye kiti UN ww? jua Hapa tulipo tupo kwenye' The Road of No Return 😡
 
kama wanajibu hoja za kwenye waraka, kuna shida gani? ila sio kumshabikia mwarabu mungu mtu wao.
Unapokuwa ndani ya jamii yenye itikadi tofauti za kiimani inahitajika hekima kubwa sana kwenye kuzungumzia jambo linalogusa jamii hususani hilo suala likiwa na harufu ya siasa.

Ijapkuwa siasa huwezi kuitenganisha na dini lakini kwa jamii yenye itikadi tofauti za kiimani, siasa ikiingizwa kwenye dini au dini ikiingizwa kwenye siasa ni hatari kwa sababu yataathiri umoja na utulivu ndani ya nchi. Mfano hai ni India.

Binafsi mtazamo wangu ni kama wa Prof. Issa Shivji kwenye suala la bandari. Lakini hili suala lilichukua pande 3. Mojawapo ya pande ni kuwa hili linatazamiwa kwa misingi ya itikadi ya kidini.

Kwa mtazamo wangu, TEC wangeishia kwenye press conference tu waliyoifanya. Kwa sababu wao ni raia wa Tanzania na wana haki ya kutoa maoni. Ila suala la kupiga hatua zaidi na kuelekeza waraka wao usomwe kwenye nyumba za ibada hili suala ni la hatari. Kwa sababu hawa ni viongozi wa dini. Watakachokitoa kwa waumini wao ndicho waumini wao watakachokipokea. Lakini tukumbuke hii ni nchi iliyobeba watu wenye itikadi za kiimani tofauti.

Likisogea kwenye nyumba za ibada hilo kwa jamii yetu litatafsirika dini imeingia kwenye siasa. Hivyo itatafsirika ni udini. Ikitokea Taasisi nyengine ya kidini ikatoa mawazo tofauti na TEC kisha na wao wakalipeleka kwenye nyumba zao za ibada kwa maana waumini walisikie na walifuate. Watokee tena viongozi wa dini nyengine nao wafanye hivyo hivyo unafikiri hii nchi itakuwa imeshika njia nzuri? Itagawanyika hii! Kwa sababu dini itakuwa imeingia kwenye siasa!

Hawa wengine wametoa hili! Sijui kama ni la kweli au laa!
 
Attachments

  • IMG-20230820-WA0012.jpg
    IMG-20230820-WA0012.jpg
    114 KB · Views: 2
Haya Ni Maoni Yako unaijua Tec ww?
Unaijua Vatican yenye kiti UN ww? jua Hapa tulipo tupo kwenye' The Road of No Return 😡
Ewaaa!

Msimamo huu unautoa na mojawapo ya sababu ni umetiliwa mkazo na kiongozi wako wa dini.

Sasa watokee wa mfano wako ambao nao mojawapo ya misimamo yao inakinzana na wewe na ambao umetolewa na kiongozi wako wa dini unafikiri nini kitajiri?

TEC hili kuliingiza kwenye nyumba za ibada ni kosa kubwa sana! Wangeishia kuzungumza kwa kutoa maoni yao kama raia wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom