Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.
Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.
Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.
Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
U know nothing kuhusu kanisa mkuu kaa kimya. Unaweza kukuta nusu ya masheikh ni wakatoliki we hujui tu
 
Wakijua tu kuwa suala hili lina udini wa wazi kabisa inatosha....wala hawahotaji kujua meeeengi hadi yawageuze kuwa waongo na wanafiki na wazandiki; kwamba muingereza achukue tu madini atakavyo, mchina achukue tu gesi atakavyo lakini biashara ya bandari na mwarabu hapana sababu. Ukiangalia vingine vyote vinaruhusiwa huku ikifahamika wazi kuwa vinakwisha huku kinachopingwa hakiishi kipo na kitaendelea kuwepo hata milele.
Umetamka vyema hapo.Vitu vinachukuliwa vinaisha na hamsemi neno.Bandari itatumika na tukiona kuna shida tutazuia wenyewe lakini bado wanaona bandari ndio mkataba mbaya pekee.Udini na maslahi yao tu.
Elimu kidogo tu inayotekelezwa ni bora kuliko nyingi isiyotekelezwa na elimu iliyoganda kichwani ni bora kuliko ile iliyojaa kwenye makaratasi
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Bro issue siyo tamko pekee, je wanahoja ya maana ya kutolea tamko?? Kwani tec wametoa tamko la kupinga uislamu? Kama masheikh wanaungana na tec kutoa tamko la kupinga mkataba wa DP itakuwa saf Sana. Hizi hoja za kuchonganisha dini ni ujinga wa juu mno. Sisi ni Watanzania,anayeuza nchi ndiyo adui wetu na si hoja za maaskofu na masheikh wala ukristo na uislamu.
 
Chama cha CUF ndio kilikuwa Chama cha misikitini, tatizo masheikh wengi hawana elimu wamesoma Quran tu.

Baraza la maaskofu linaundwa na PhD na degree holders tu, lile ni zaidi ya baraza la mawaziri.
Kama zilizokaa na kutoa huo walaka ni PhD

Am hereby to address that PhD its piece of paper and am hereby to confirm that its simple to have educational badge but not being educated [emoji1787]
 
Wakijua tu kuwa suala hili lina udini wa wazi kabisa inatosha....wala hawahotaji kujua meeeengi hadi yawageuze kuwa waongo na wanafiki na wazandiki; kwamba muingereza achukue tu madini atakavyo, mchina achukue tu gesi atakavyo lakini biashara ya bandari na mwarabu hapana sababu. Ukiangalia vingine vyote vinaruhusiwa huku ikifahamika wazi kuwa vinakwisha huku kinachopingwa hakiishi kipo na kitaendelea kuwepo hata milele. Mamamaamamamamae! Kwa u###%$&nge huu, ngoja tu!!
Shida ni mkataba na Sio uarabuni na uislam.
Mbona waarabu wengi tu wamewekeza nchini bila shida
 
Waislamu huwa wanakutana mara tano kwa siku katika swala na mara moja kwa wiki siku ya Ijumaa.Kiuhakika waislamu wanakutana kwa wingi katika wiki kuliko wakristo.

Masheikh nao wakiamua kuachana na hofu inayowakataza kutochanganya dini na siasa na kuanza kutoa matamko misikitini sijui kama wengine wataweza kivumbi hicho.

Kwa ujumla tamko la TEC kusoma waraka makanisani na kutekeleza leo ni kama kwamba wamejinyea na kujiingiza kichwa kichwa kwenye jambo litakalowaporomoa kutoka pale walipo.Ama wamkane padre wao au wakubali wamechokoza pasipohitajika.

Uamuzi wa NATO kuingia vitani Ukraine na ECOWAS kupeleka jeshi Niger ni sawa na kanisa katoliki kusoma waraka wa bandari makanisani mwao.
Kwenye kukutana, unauhakika. Wakristo wanakutana mara moja kwa wiki?
 
Zogo la bandari lishakuwa mvutano baina ya dini kongwe...
 
Back
Top Bottom