Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajanja wanataka posho tu, mamlaka hutoka kwa Mungu
 
Divide them 😳
Watawanye 😳
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Propagandist’s in Action !
Heri Zimwi likujualo halikuli likakuisha ! 🫑
Habari za Lissu kwa sasa zimewekwa mfukoni πŸ˜…πŸ‘πŸ™βœ…πŸ‘¨β€πŸ’»
 
Mmekutana pipa na mfuniko πŸ˜‚,sasa mm nawaambia nyinyi wote hampo sahihi sababu hizo imani mnazoamini si asili ya mwafrika
 
Hii kali sana kwamba atakuwa rais wa majini. Ngoja tumuone huyo pendekezo la majini kama kuna nafasi atashika.
 
Wakifanya wao ni miujiza ila tukifanya sisi waafrika ni ushirikina na uchawi,sawa mkuu umeeleweka na watumwa wenzio
Mimi na wenzangu ni watumwa wa Allaah muumba wa mbingu na ardhi.
Hatumuabudu mwingine asiyekuwa yeye.
Dunia hii haijaumbwa na mizimu, vibwengo wala mashetani wengine bali imeumbwanna Allaah na yeye ndiye mwenye kiteua manabii na mitume na kuwapa nguvu za kufanya miujiza.
Allaah alimtuma Nabii Musa kwa firauni huko Misri na akampa miujiza maalumu ya kuthibitisha utume na unabii wake.
Firauni alikuwa na timu ya wachawi wanaomfanyia ramli na mambo ya ukuhani ili kuilinda serikali yake.
Firauni alipoona miujiza ya Nabii Musa ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ Ψ§Ω„Ψ³Ω„Ψ§Ω… akataka kuishindanisha na uchawi wa wachawi wake matokeo yake wachawi wa firauni wote wakasilimu baada ya kuona kuwa ile miujiza ya Nabii Musa ni kitu kubwa na tafauti sana na uchawi wao.
Wale wachawi waliposilimu Firauni akaamua kuwaua wote kutokana na aibu aliyoipata ya kushindwa na Nabii Musa ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ Ψ§Ω„Ψ³Ω„Ψ§Ω….
Kwahiyo MIUJIZA NI NGUVU TOKA KWA ALLAAH ANAZOWAPA MITUME NA MANABII NA UCHAWI NI NGUVU ZA KISHETANI WANAZOPATA WACHAWI NA MAKUHANI.
 
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Hili ni agizo kwa waislamu wampigie β€˜mama’ kura. Naiona hatari oliyo mbele yetu.
 
Mmekutana pipa na mfuniko πŸ˜‚,sasa mm nawaambia nyinyi wote hampo sahihi sababu hizo imani mnazoamini si asili ya mwafrika
Acha ubaguzi! Waafrika , wahindi, wazungu na waarabu sote tumeumbwa na Mungu mmoja.
Allaah anapoleta mtume na utume kutoka kwake yatakiwa tumuamini bila kuangalia kabila lake , taifa Wala rangi yake . Chamuhimu ni kupatikana hoja ya kuthibitisha kuwa mtume huyo katumwa na Allaah muumba wa kila kitu.
 
Hakika kwenye huu uzi usingweka ushahidi wa video hawa masheikh shehena wangesema hizi ni chuki na nina uhakika huu uzi ungefutwa
 
Hii kali sana kwamba atakuwa rais wa majini. Ngoja tumuone huyo pendekezo la majini kama kuna nafasi atashika.
Kwhy hiyo clip yametajwa majini?au Samia ndo Rais wa kwnz kuombewa na viongozi wa dini?...uzushi ndo laana mliyopewa wagalatia...kwani uzushi wa Papa Francis awabariki LGBT hukuhusikia?...kwmb aliongea na mungu?
 
Wewe nae ni matade unafikiria kwa kutumia mshipa wa t**I,umewekewa mpaka na clip ya viongozi wako halafu unakuja kuandika utumbo hapa,kwahiyo unataka kusema hizo clip ni editing?!
 
Kwhy hiyo clip yametajwa majini?au Samia ndo Rais wa kwnz kuombewa na viongozi wa dini?...uzushi ndo laana mliyopewa wagalatia...kwani uzushi wa Papa Francis awabariki LGBT hukuhusikia?...kwmb aliongea na mungu?

Acha kupindisha mada. Bila Majini samia hashindi! Hii vita mliyoingia ni kubwa kweli kweli, Ngojeni muone nguvu ya asiyetumia majini.
 
Ungepitia Uzi niliowahi kuandika usemao:

" Wajue mapepo katika form ya WANADAMU,ungekuwa na uelewa mpana zaidi kuhusu maekezo ya sheikh.

Pia ungemuuliza sheikh, kwamba Kuna majini walio "chawa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…