Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajanja wanataka posho tu, mamlaka hutoka kwa MunguMashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658Strategy formulation of making extra money
Halafu wewe ndio kale ka anus kule chiniCcm ni utumbo wa mbuzi na ng’ombe aka kichuri.
Mmekutana pipa na mfuniko 😂,sasa mm nawaambia nyinyi wote hampo sahihi sababu hizo imani mnazoamini si asili ya mwafrikaHiyo ndo laana yenu kamwe haitowaacha mmeweza kwa manabii mtashndwa vipi kwa binadamu?
Juzi tuu hapa Papa Francis kaleta uzushi na kiroja cha ajabu eti kaongea na mungu awabariki LGBT...bado mtasema na mnaamini lkn hamchoki kutafuta uzushi juu ya uislamu mara ugaidi mara majini alimradi litakokupendeza...
Mimi na wenzangu ni watumwa wa Allaah muumba wa mbingu na ardhi.Wakifanya wao ni miujiza ila tukifanya sisi waafrika ni ushirikina na uchawi,sawa mkuu umeeleweka na watumwa wenzio
yapo hadi majini ya kwenye kikwapa 😂😂😅Jini linakaa mfukoni kweli?(sio kwamba huu ushirikina sasa au hirizi)
Hawa masheikh napata hofu kama hawajatumika kwenye siasa basi kuna shida sehemu
Hili ni agizo kwa waislamu wampigie ‘mama’ kura. Naiona hatari oliyo mbele yetu.Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
Kwa ufahamu wangu najini ni viumbe visivyopokea amri za kibinafamu.. In short wamemtapeli
Acha ubaguzi! Waafrika , wahindi, wazungu na waarabu sote tumeumbwa na Mungu mmoja.Mmekutana pipa na mfuniko 😂,sasa mm nawaambia nyinyi wote hampo sahihi sababu hizo imani mnazoamini si asili ya mwafrika
Huo ndo mwsh wako wa kufikiri..kwani uislam upo africa tuu?Mmekutana pipa na mfuniko 😂,sasa mm nawaambia nyinyi wote hampo sahihi sababu hizo imani mnazoamini si asili ya mwafrika
Kwenye mchicha pia yapo yanaitwa majini mahabayapo hadi majini ya kwenye kikwapa 😂😂😅
Hakika kwenye huu uzi usingweka ushahidi wa video hawa masheikh shehena wangesema hizi ni chuki na nina uhakika huu uzi ungefutwaUdini uko wapi hapo wakati kilichowekwa hapo ni maneno kutoka kwa viongozi rasmi wa dini ya kiislam kuhusiana na uchaguzi?
Kwa nini hampendi ukweli? Umewekewa mpaka video clip za hao viongozi wa dini ya kiislam, halafu unasema eti ni uchochezi dhidi ya dini!! Sasa mchochezi ni nani? Ni hao viongozi wa dini au sisi tuliosikia kauli zao?
JF siyo gazeti la uhuru ambalo habari ambayo chama haiitaki inatakiwa kufutwa au kuhaririwa. Hapa JF, kama hukubaliani na kilicholetwa, kikatae, kikosoe au kirekebishe kwa hoja. Kama habari iliyoletwa ni ya uwongo, mods wana haki ya kufuta, lakini kwa habari hii umewekewa mpaka ushahidi wa video, na video hizi zinazunguka kwenye magroup mengi ya whatsapp.
Kwhy hiyo clip yametajwa majini?au Samia ndo Rais wa kwnz kuombewa na viongozi wa dini?...uzushi ndo laana mliyopewa wagalatia...kwani uzushi wa Papa Francis awabariki LGBT hukuhusikia?...kwmb aliongea na mungu?Hii kali sana kwamba atakuwa rais wa majini. Ngoja tumuone huyo pendekezo la majini kama kuna nafasi atashika.
Hapa shida ni moja tu,Hebu njoo mada husika hawa viongozi wa dini kuwaombea Marais ni Samia ndo wa kwnz kuombewa?
Wewe nae ni matade unafikiria kwa kutumia mshipa wa t**I,umewekewa mpaka na clip ya viongozi wako halafu unakuja kuandika utumbo hapa,kwahiyo unataka kusema hizo clip ni editing?!Kwa wale tu wenye Akili za kuona mbali
Je mumeshagundua nini kuhusu Uzi huu ???!
Uchaguzi umekaribia kwahiyo sisi wenye uwezo wa kudadavua mambo tunaanza kupata mashaka kwamba ukiona nyuzi zinapandishwa humu zenye muelekeo wa Udini na kisha kukaanza malumbano ya kidini nia ya waleta nyuzi siku zote inakuwa ni moja tu !
Ni ile ile principal ya tangu Enzi na Enzi
“DIVIDE THEM AND RULE “
Waleta nyuzi za namna hii huwa wana ajenda zao za Siri !
Waliosomea Cuba 🇨🇺 wanaweza wakaelewa hii maneno imekaaje !
Hiyo yaweza kua ni starting point ya kuupima upepo ili tanga likae sawa kwa ajili ya kuanza safari 😳🙄!
Muwe mukitumia common sense sometimes !
Au nasema uongo ndugu zanguni !!! 🤣🙏 🙄 !?
Kwhy hiyo clip yametajwa majini?au Samia ndo Rais wa kwnz kuombewa na viongozi wa dini?...uzushi ndo laana mliyopewa wagalatia...kwani uzushi wa Papa Francis awabariki LGBT hukuhusikia?...kwmb aliongea na mungu?
Endelea kuishi kwa kuamini,wewe huna tofauti na mtoto anaeamini hadithi za sungura na fisiHuo ndo mwsh wako wa kufikiri..kwani uislam upo africa tuu?