Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Kuendekeza machawa
2. Kuruhusu watumishi kula kutokana na urefu wa kamba
3. Bandari kuuzwa
4. Kufukuzwa kwa Wamasai kwenye maeneo yao ya asili
4. Ufisadi wa wazi wazi ( Suala la sukari)
5. Matumizi mabovu ya fedha za umma
6. Kushindwa kuwa na vipaumbele
7. Kuwanyima wananchi kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa wanaowataka
8. Kujipitisha mwenyewe pasipo kufuata kanuni za chama
9. Watu kupotezwa, kutekwa na kuteswa na kuuwawa

. Nakadhalika nakadhalika

Alafu leo Unaanza kuwatumia binadamu wenzako kuongea ujinga kwenye nyumba za binadamu eti hata MAJINI yatasimamia na utashinda. Dah inachosha na kusikitisha 😭😭😭
 
Sisi binadamu tunamapungufu mengi sana, na huwenda hizi dini zetu kunaupande ni kama huwa tunadanganyana saana

Hawa hawa Mashekhe kipindi Rais Samia anaingia madarakani, walitusomea aya kuwa, Mwanamke kuwa kiongozi mwenye maamzi, yaani Mtawala, Kitabu na Dini ya Mnyaazi Mungu haikubali

Embu ona tena leo walivyomugeuka Huyu Mnyaazi Mungu na Kitabu chake!

Kuna mahali hata Mungu akitutazama anacheeeka na kutudharau sana kwa sababu huwa hatuna tujuacho kumhusu
 
Niliwaambia watu hapa JF kuwa viongozi waislamu ndiyo wanatuhalibia nchi ...wapumbavu wakabisha ...ni vyema waislamu waweke pembeni moja kwa moja kwenye uongozi wowote nchini ...nchi iongozwe na wapagani au wakristo tutafika mbali ila waislamu watakuja kuitumbukiza nchi shimoni
 
Raha ya TZ masheikh ndiyo huwa hawasemwi kwamba wanachanganya dini na siasa, kwao ni ruksa.
NB: Huo upuuzi wa dua na makafara mara majini vyote havifanyi kazi, dini zililetwa kupumbaza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…