Anareta matata muraa!Usilinganishe kichuri na vitu vya ovyo kama ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anareta matata muraa!Usilinganishe kichuri na vitu vya ovyo kama ccm.
MKuu mfano inajulikana ridhki anatoa Mwenyezi mungu ila ameweka sababu kama kufanya kazi, kwahiyo kusaidiana kwa binaadamu haina maana Mungu hausiki.Kuna binadamu anaye kulinda wew? Kuna binadamu anaye kufanya upate ridhiki yako mlo wako wa siku? Cheo? Kuna binadamu anaye kusaidia usife?
Uzushi ndo laana mliyoachiwa wagalatia wote duniani..imagine mmeweza kwa Yesu mtashndwa vipi kwa binadamu?Kwa kweli litakuwa ni jambo hema maana ile ya viongozi wa CCM kujazana kwa waganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi, wameona haitoshi. Sasa wameamua kuwatumia wachawi wanaotumia dini!! Wanatamani Taifa liongozwe na nguvu za shetani.
Lakini hakika watashindwa, watu wa Mungu wazidi kumtegemea Mungu, hayo majini yao yatawarudia na kuwadhuru wao wenyewe na familia zao.
Hajitambui kabisa aseeAnareta matata muraa!
Eti hii nayo dini wakati ni uchafu na uchawi?
Kuna tofauti yeyote ya Uislam na ushirikina?Haya matapeli yamejificha kwenye dini kupiga dili na ushirikina
Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu na mkamchora katuni mkamchonga katuni na movie juu...bado hamjaridhika sahv mnadai anawatokea mpk mnauza mafuta udongo na kuchoma magari....ndo mtaweza kuuletea uzushi uislam?...ndo laana mliyoachiwa kuzusha uzushi...na hamtoachaYaani Rais anafanyiwa Kafara la Albadir mpaka kuchinja mbuzi wa Kafara na kuagiziwa majini yamsaidie ashinde Urais? Hell No!!
Hizi ni Imani na vitendo vya kishirikina kwa 100%
Alitabiri nini mkuu?Hofu ya utabiri wa Sheikh Yahaya (RIP)
Nyerere alipoenda bagamoyo kuombewa dua na mashekhe mbn hizi hoja hazikuwepo?...na kilichofanyika hapo wala sio jambo jipya kabisaa iwe viongozi wa dini ya kiislam au ukristo...umeweka video kuna sehemu hapo inahusiana na majini?...Udini uko wapi hapo wakati kilichowekwa hapo ni maneno kutoka kwa viongozi rasmi wa dini ya kiislam kuhusiana na uchaguzi?
Kwa nini hampendi ukweli? Umewekewa mpaka video clip za hao viongozi wa dini ya kiislam, halafu unasema eti ni uchochezi dhidi ya dini!! Sasa mchochezi ni nani? Ni hao viongozi wa dini au sisi tuliosikia kauli zao?
JF siyo gazeti la uhuru ambalo habari ambayo chama haiitaki inatakiwa kufutwa au kuhaririwa. Hapa JF, kama hukubaliani na kilicholetwa, kikatae, kikosoe au kirekebishe kwa hoja. Kama habari iliyoletwa ni ya uwongo, mods wana haki ya kufuta, lakini kwa habari hii umewekewa mpaka ushahidi wa video, na video hizi zinazunguka kwenye magroup mengi ya whatsapp.
“Kuna aina tatu ya mikono:MKuu mfano inajulikana ridhki anatoa Mwenyezi mungu ila ameweka sababu kama kufanya kazi, kwahiyo kusaidiana kwa binaadamu haina maana Mungu hausiki.
Kwahiyo tumeelewa mkuu.“Kuna aina tatu ya mikono:
• kwanza ni mkono ule wa Allah swt ambao uko juu kabisa na kwa hakika neema zote ni za Allah swt,
• mkono wa pili ni ule mkono wa yule mtu anaye toa, ambaye anatoa katika njia ya Allah swt na
• mkono wa tatu ni wa yule anaye pokea ambao mkono uliochini wa yule anayetoa. Kwa hivyo enyi watu chochote kile kinachobakia miongoni mwenu mtoe katika njia ya Allah swt na musikalifishe nafisi zenu”.
Kama nilivyosema kwamba nchi hii kila mtu ana uhuru wa kuamini na kuabudu kile anachoona kuwa kinafaa kuaminiwa na kuabudiwa na serikali haina shida na imani za watu muhimu wasivunje sheria za nchi.Nimeona Dr.sule ameanza na yeye kuuza mafuta kama mwamposa, pia anasema Mara nyingi muislamu kutumia majini kupata pesa sio dhambi.
Waislamu huwa hawakubali dini yao kuchezewa hivi, inakuwaje hadi Leo sheikh sule hajakemewa au kukanywa?
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Acha watu wakosoe kile wanachoona ni makosa!..tujiepushe kukosoa viongozi.
..mara nyingi mkiwakosoa viongozi wa dini, waumini wa dini husika huhisi mmeivunjia heshima dini yao.
..kiongozi wa dini akikosea kwa kutokujua, au kwa makusudi, ni vizuri kupotezea tu kwani watu wana akili za kujua jambo sahihi, na lisilo sahihi.
😹😹😹Haya matapeli yamejificha kwenye dini kupiga dili na ushirikina
Hapa ni elimu,jini ni nini,aina ya majini,kazi zao,mapungufu na uzuri wake.Kumbe wenzetu wanatumia majini?
Shehe mzima atakujaje na hii takataka?Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.
Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.
SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?
Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?
Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Damu damuMajini yanahusiana nini na mashehe