Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna binadamu anaye kulinda wew? Kuna binadamu anaye kufanya upate ridhiki yako mlo wako wa siku? Cheo? Kuna binadamu anaye kusaidia usife?
MKuu mfano inajulikana ridhki anatoa Mwenyezi mungu ila ameweka sababu kama kufanya kazi, kwahiyo kusaidiana kwa binaadamu haina maana Mungu hausiki.
 
Kwa kweli litakuwa ni jambo hema maana ile ya viongozi wa CCM kujazana kwa waganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi, wameona haitoshi. Sasa wameamua kuwatumia wachawi wanaotumia dini!! Wanatamani Taifa liongozwe na nguvu za shetani.

Lakini hakika watashindwa, watu wa Mungu wazidi kumtegemea Mungu, hayo majini yao yatawarudia na kuwadhuru wao wenyewe na familia zao.
Uzushi ndo laana mliyoachiwa wagalatia wote duniani..imagine mmeweza kwa Yesu mtashndwa vipi kwa binadamu?
Hapo ulipo ukienda tuu kanisani mchungaji wako akikwambia jana alitokewa na Yesu unaamini jinsi mlivyokua mazuzu...hamtokoma kwa uzushi maana ndo laana kwenu
 
Yaani Rais anafanyiwa Kafara la Albadir mpaka kuchinja mbuzi wa Kafara na kuagiziwa majini yamsaidie ashinde Urais? Hell No!!

Hizi ni Imani na vitendo vya kishirikina kwa 100%
Mmeweza kumzushia Yesu ni mungu na mkamchora katuni mkamchonga katuni na movie juu...bado hamjaridhika sahv mnadai anawatokea mpk mnauza mafuta udongo na kuchoma magari....ndo mtaweza kuuletea uzushi uislam?...ndo laana mliyoachiwa kuzusha uzushi...na hamtoacha
 
Udini uko wapi hapo wakati kilichowekwa hapo ni maneno kutoka kwa viongozi rasmi wa dini ya kiislam kuhusiana na uchaguzi?

Kwa nini hampendi ukweli? Umewekewa mpaka video clip za hao viongozi wa dini ya kiislam, halafu unasema eti ni uchochezi dhidi ya dini!! Sasa mchochezi ni nani? Ni hao viongozi wa dini au sisi tuliosikia kauli zao?

JF siyo gazeti la uhuru ambalo habari ambayo chama haiitaki inatakiwa kufutwa au kuhaririwa. Hapa JF, kama hukubaliani na kilicholetwa, kikatae, kikosoe au kirekebishe kwa hoja. Kama habari iliyoletwa ni ya uwongo, mods wana haki ya kufuta, lakini kwa habari hii umewekewa mpaka ushahidi wa video, na video hizi zinazunguka kwenye magroup mengi ya whatsapp.
Nyerere alipoenda bagamoyo kuombewa dua na mashekhe mbn hizi hoja hazikuwepo?...na kilichofanyika hapo wala sio jambo jipya kabisaa iwe viongozi wa dini ya kiislam au ukristo...umeweka video kuna sehemu hapo inahusiana na majini?...
 
MKuu mfano inajulikana ridhki anatoa Mwenyezi mungu ila ameweka sababu kama kufanya kazi, kwahiyo kusaidiana kwa binaadamu haina maana Mungu hausiki.
“Kuna aina tatu ya mikono:

kwanza ni mkono ule wa Allah swt ambao uko juu kabisa na kwa hakika neema zote ni za Allah swt,

mkono wa pili ni ule mkono wa yule mtu anaye toa, ambaye anatoa katika njia ya Allah swt na

mkono wa tatu ni wa yule anaye pokea ambao mkono uliochini wa yule anayetoa. Kwa hivyo enyi watu chochote kile kinachobakia miongoni mwenu mtoe katika njia ya Allah swt na musikalifishe nafisi zenu”.
 
Kwahiyo tumeelewa mkuu.
 
Nimeona Dr.sule ameanza na yeye kuuza mafuta kama mwamposa, pia anasema Mara nyingi muislamu kutumia majini kupata pesa sio dhambi.

Waislamu huwa hawakubali dini yao kuchezewa hivi, inakuwaje hadi Leo sheikh sule hajakemewa au kukanywa?
Kama nilivyosema kwamba nchi hii kila mtu ana uhuru wa kuamini na kuabudu kile anachoona kuwa kinafaa kuaminiwa na kuabudiwa na serikali haina shida na imani za watu muhimu wasivunje sheria za nchi.
Na watu kama Dr sule Wana wafuasi wao.
Sasa sisi ambao tunaona kwamba Dr Sule anakosea kwa kumzushia mtume uongo masheikh zetu walishafanya mihadhara kwenye misikiti yetu na kubainisha ukafiri anaouzungumza Dr sule na wenzake kama huyo mwalimu kingu anayetangaza kusoma Albadiri na kuchinja mbuzi .
Mihadhara hiyo inapotolewa huwekwa katika mitandao ya kijamii na ujumbe huwafikia wahusika.
Hilo ndilo tunaloweza, ama mambo ya kuandamana au kwenda kutoa matamko mbele ya vyombo vya habari sio utaratibu wetu wa kupambana na upotoshaji wa kiimani hata kama upotoshaji husika utafanywa na mtu wa dini nyingine.
Sisi tutazungumza msikitini, mazungimzo yatarekodiwa na kuwekwa katika mitandao ya kijamii na ujumbe utawafikia wahusika na hapo tutakuwa tumetekeleza wajibu wetu ambao upo ndani ya uwezo wetu.
Lau tungekuwa katika nchi ya kiislamu inayoongozwa kwa sharia za kiislamu mtu kama Dr sule atapelekwa polisi na kuonywa na kuelimishwa juu ya makosa yake endapo ataonekana ni mjinga, atachapwa viboko kadhaa na kuachiwa na baada ya hapo akikutwa tena anaendeleza mambo ya uchawi na ukuhani atapelekwa mahakamani kwa kadhi na atahukumiwa kukatwa kichwa kwa kuiasi Imani sahihi ya kiislamu.
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658

Hii ina maanisha njia zote nzuri zimeshindikana. Inabidi kutumia njia za giza. Matumizi ya majini maana yake ni matumizi ya ushirikina.
Hii nchi sio Taifa la kishirikina, ingawa watu wake kwa ubinafsi, wengine ni washirikina. Unapoataka tuchague Rais kwa ushirikina itakuwaje?
 
..tujiepushe kukosoa viongozi.

..mara nyingi mkiwakosoa viongozi wa dini, waumini wa dini husika huhisi mmeivunjia heshima dini yao.

..kiongozi wa dini akikosea kwa kutokujua, au kwa makusudi, ni vizuri kupotezea tu kwani watu wana akili za kujua jambo sahihi, na lisilo sahihi.
Acha watu wakosoe kile wanachoona ni makosa!
Halafu Kuna wengine hawana hata hadhi ya kuitwa viongozi wa dini kwakuwa hata madhehebu yao wala taasisi zao hazijulikani! Kama huyo anayejiita Maalim kingu anayetisha watu kuwa atachinja mbuzi mweupe na kufanya kisomo cha Albadiri ni kiongozi wa dhehebu gani?!
Huoni huyo ni mganga yupo kiringeni kabisa na kavaa nguo za kishirikina kulingana na mizimu anayoianudu ilivyomuelekeza?! Bakwata wanajulikana angalau kuwa wana taasisi kubwa ya kidini iliyosajiliwa lakini wakifanya makosa ya wazi kama hayo ya kudai kuwa wanatoa amri kwa majini wafanye mambo wanayoyataka lazima waambiwe kuwa wanawapotosha waumini wao.
 
Tanzania ukute ni Channel ya vichekesho ila hatujui 😹
 
Huu uzi ni wakijinga sana kila mtu anakufuru dini ya mwenziye. Kiwango cha kufuru kilichopo humu ndani siyo poa. Mm nashauri bunge litunge sheria mtu yoyote atakayekufuru ama dini ya kiislam au dini ya kikristo alipe ama faini milioni 50 akishindwa akae ndani miaka 10.

Kama mtu ana uwezo wa kulipa hiyo milioni 50 ikiwa amekufuru dini ya kikristo basi hiyo milioni 50 ichangie jitihada za kueneza dini ya kikristo au ikiwa amekufuru dini ya kiislamu hizo milioni 50 zichangie juhudi za uenezaji wa dini ya kiislamu.

Na maana ya kufuru iwe ni hii, lugha yoyote ta matusi dhidi ya mafundisho matukufu sana ya dini hizi. Japo watu wa sheria na watu wa dini wanaweza kukaa kujadili nini hasa maana ya kufuru.

Mihadhara na mijadala yoyote kuhusu mabishano ya kiteolojia yaongozwe na lugha ya staha.

Kuwe na cyber police kwenye platform kama hii jamii forums, nyingine ni instagram, x, facebook n.k kazi yao iwe ni kukamata hizi pipo. Nawasilisha

Kukufuru dini za jadi hata hivyo pengine iruhusiwe
 
Kumbe wenzetu wanatumia majini?
Hapa ni elimu,jini ni nini,aina ya majini,kazi zao,mapungufu na uzuri wake.
Tuliosoma Alfuleraulera au Harun Rashidi,Hadithi za Waesopo wala hakuna cha ajabu alichodokeza Sheikh mkuu wa Dar.Ndio dunia harisi,wala sio hadithi mchogoko bali hadithi ya kusadikika.
Jaribu kutafuta maarifa kabla ya kulalamika.
 
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata, wafanye ibada ya kumwombea Samia ashinde kwenye uchaguzi ujao.

Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa anayaagiza majini yote yahakikishe Rais Samia anashinda kwenye uchaguzi wa urais mwaka huu.

SWALI:
Tukiyaamini maneno ya mashekhe hawa, ina maana uchaguzi wa safari hii utakuwa ni ushindani kati ya wanadamu na majini? Kama majini yakishinda, huyu Rais atakuwa wa wanadamu wa Tanzania au atakuwa Rais wa majini?

Wananchi wanapomchagua kiongozi wao, matarajio yao ni kuwa huyo wanayemchagua atawaongoza katika jitihada zao za kuyafikia maendeleo, sasa kama majini yatamchagua mgombea kuwa Rais, hayo majini yanatarajia kunufaika vipi na huyo yaliyempigania?

Wataalam wa majini tunaomba litoleeni ufafanuzi hili la mashekhe kuomba majini yamsaidie Rais Samia, inamaanisha nini katika tafsiri pana?
View attachment 3222655
View attachment 3222658
Shehe mzima atakujaje na hii takataka?

Nadhani kuna fungu kapewa, sasa anarudisha fadhila!

Shehe ni mtu mwenye elimu ya dini ya kiislam isiyoweza kutiliwa mashaka, iweje ajifyetue kwa kiwango cha lami kiasi hicho?

Wadau fuatilie yaliyo nyuma ya pazia mtaelewa mengi yaliyo nyuma ya kauli hizi.
 
Back
Top Bottom