We jamaa umezingua, jifunze jinsi ya kutoa updates kwa wakati na kwa usahihi.
Halafu uwe unasoma maswali unayoulizwa na wadau.
Ni kweli mkuu kazingua sijui ni utamu wa game ulikuwa unamfanya ajisahau? Ila tunamshukuru kwa kuanzisha uzi pia.
Mkuu alituweza sana aisee,,Ni kweli mkuu kazingua sijui ni utamu wa game ulikuwa unamfanya ajisahau? Ila tunamshukuru kwa kuanzisha uzi pia.
Hata kupanga tu sentence ili ieleweke vizuri kwa wasiokuwepo hajui. Check alivyotoa matokeo hayo ya mwishoWe jamaa umezingua, jifunze jinsi ya kutoa updates kwa wakati na kwa usahihi.
Halafu uwe unasoma maswali unayoulizwa na wadau.
Hivi huyu alitega au imekuja tu?Namna hii Fedheha
View attachment 1479298
Hahahaha, hii nimekubaliNamna hii FedhehaView attachment 1479298
Watakuwa walikuwa wanaelekezana namna ya kula kete tano.Hivi huyu alitega au imekuja tu?
naenda nayo kijiwe leo nikawaoneshe
naenda nayo kijiwe leo nikawaoneshe
Kumtega mpka ifike hapo wanaweza cheza kwa siku tano na isifike hapo. [emoji848]Inabidi umtege mtu mpaka ifikie hapo ndo uioneshe.
Hao watu huwa wanasahau kula na kuoga kwa ajili ya draft. Nakumbuka tulipandishiana dau na Mangwelele nizuie sare mbili, nikapata sare moja.Aisee kumbe sikuhizi mafundi wamebadilika enzi zetu nilikuwepo mimi mangwelele juma mchafu na mafundi wengine wengi vijiwe buguruni,mbagala tmk
Huyo dogo janja ni huyu huyu msanii au??[emoji3064]Ronald fund Mkubwa mtoto was Dar ila anaish Dodoma