Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Asee hao jamaa wengi nmekutananao Dodoma maeneo ya Majengo sokoni, Kwata mwizi, Ronaldo, Nduli na Domo la Mamba!!!
 
Asee hao jamaa wengi nmekutananao Dodoma maeneo ya Majengo sokoni, Kwata mwizi, Ronaldo, Nduli na Domo la Mamba!!!
Sasa we jamaa ndo umenikumbusha nilikuwa nashidwa kuwatofautisha hawa watu wawil Ronald na nduli. walikuwa na bifu hawa sijui sasa hivi
 
Hao wakiweka hela usithubutu
Lakini kwa nini wanaweka hela kwa masharti?
Elfu mbili kwa Elfu Kumi. Bingwa elf 10 wewe elfu 2 tu, kwa sharti kwamba kete ya kwanza ni zamu yako wewe wa elfu 2 na pia anakuchagulia pa kucheza. Ushaiona hiyo? Ipo kijiwe cha Buguruni Chama.
Amekariri mchezo mmoja anaujua mwanzo mwisho, bingwa gani huyo?
 
Sasa we jamaa ndo umenikumbusha nilikuwa nashidwa kuwatofautisha hawa watu wawil Ronald na nduli. walikuwa na bifu hawa sijui sasa hivi
Nduli na Ronaldo walikuwa hawapendi kucheza pamoja Yale maeneo ya Majengo, Kwata Mwizi alikuwa anamwogopa Sana Nduli japo Ndul alikuwa mbabe Ila Kuna vijana walijitoq Sana kucheza nao na nna Imani Kuna washindani wakubwa sasa hvi
 

Kwa fundi anayelijua bao vizuri kete ya kwanza tu inaamua matokeo ya gemu zima ndio maana kwa kuwa anaweka hela nyingi zaidi yako anakuanzishia kete mbovu we utafute sare tu.

Kwa jinsi draft lilivo kila mchezo mkicheza wote kwa usahihi bila kukosea matokeo ni droo, ndio maana mafundi hawafungani kwa sababu wanajua michezo fulani kwa usahihi mwanzo-mwisho kwa hiyo ana uhakika wa kutoa sare.
 
Mafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Hao wote awamuwezi mangwelele,Amani siri,Issa white,msomali,Shekebele etc
 
Mangwelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…