elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Hahahaaa!kwata mwizi jamaa ana ongea yule, ila nishawahi kumuona anacheza na nduli, kwata mwizi akamshika nduli pabaya ,nduli akaanza kufikiria, kwata mwizi akaanza maneno yake naombeni gazeti nisome au kama hamna ngoja niende choon nikakate gogo huku navuta fegi wakati nduli anafikiria asogeze kete ipi na aliondoka kweli, nduli alimaindi sana.Nduli na Ronaldo walikuwa hawapendi kucheza pamoja Yale maeneo ya Majengo, Kwata Mwizi alikuwa anamwogopa Sana Nduli japo Ndul alikuwa mbabe Ila Kuna vijana walijitoq Sana kucheza nao na nna Imani Kuna washindani wakubwa sasa hvi
Hahahaha mamluki wengi sijui kwanini wana spirit hiyo kudhani kwamba kete tatu za main road zina elements za ushindi.
Kuna sehemu nilifika nikaomba kucheza, mpinzani wangu aliposukuma kete yake ya kwanza mi nikatoka na yakulia basi akashangaa alijua ile kete yake ya road aliyoanza nayo nitaikata. Akaanza matambo kua "ushafungwa tayari maana umefanya kosa kusukuma kete ya kindezi"
Mwisho wa siku akafa
Wee thubutu! kukata kete ni kuelekea kwenye draw?Mi nauitaga mchezo wa draw sio wa ushindi
Ukikata tu basi mnaanza kuelekea kwenye ma draw
Huyu Amani siri ni yule wa clouds au?Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Huyu Amani siri ni yule wa clouds au?
Hii ndo miamba sasa,,Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Namuona Noel hapo pichani.Game bado zinaendelea na muda ndo unazidi kuishaView attachment 1478604
Nimeipenda hii next time nakuja kushangaaGame bado zinaendelea na muda ndo unazidi kuishaView attachment 1478604
Nimeipenda hii next time nakuja kushangaa