Mashindano ya Division ZERO 2023

Hii Taifa iko Mkoa gani na Wilaya gani au Manispaa Gani? Hii Guinness world record tuitangaze zaidi.
 
Umewazaje wewe hio future generational prospect?
 
Ila tuache utani vijana wametaga ZERO Hadi aibu, sijawahi kuona ZERO za kutosha design hii.
**Hivi kuna mwaka watu wametaga hivi??
 
Kwani mtu akifeli mtihani ndio anakuwa amefeli Maisha?.
 
Kwenye hilo kundi ndio kuna wanawake wa 'Baby nakj bdae ira ntpta kw rfk yngu Mwanaisha c unjua leo kna shughuli? Ila mwnzio nanjaa kwl sijal mpk saiv ile hera nrinnua kijora
[emoji38][emoji38][emoji38] hapa na wale madogo wa hivi hawakosi " oy bro inakuaj,mixhe vp naomba nixaidie buku 5 au kama kuna ishu nishtue"
 
ILI BOMU LILISETIWA TANGU ILIPO ANZA SERE YA ELIMU BURE ,KULIKUWA NA IDADI KUBWA SANA YA WANAFUNZI WALIOANDIKISHWA LAKINI SERIKALI HAIKUAJIRI WALIMU WALIO TAKIWA KUKIDHI IDADI YA WANAFUNZI HAO, PIA MIUNDOMBINU HAIKUONGEZWA AU KUBORESHWA KULINGANA NA KASI YA WANAFUNZI WALIO RIPOTI PR NA SEC HIVYO BOMU LIMEANZA KULIPUKA MAENEO YA KANDO BADO HALIJAFIKA BARA TUSIBIRI 2025 UP TO 2030
 
 MATOKEO NDIO SABABU YA KUTO TANGAZA TOP TEN BORA KITAIFA... MATOKEO YA GOV SCHOOL NI MABAYAA SANAA HAYARIDHISHI... KAMA PRIVATE SCHOOL ZIMEKUA BORA KITAALUMA KWANINI TUSI TANGAZE ZILIZO ONGOZA NA ZILIZO FELISHA... SIUNGI MKONO UTARATIBU WA MWAKA HUU...
 
Kwenye hilo kundi ndio kuna wanawake wa 'Baby nakj bdae ira ntpta kw rfk yngu Mwanaisha c unjua leo kna shughuli? Ila mwnzio nanjaa kwl sijal mpk saiv ile hera nrinnua kijora
Tatizo linaanza darasa la 4, mchujo watakiwa uanzie hapo.
Hakuna sifa kupeleka namba kubwa isiyo na faida.

Wachaguliwe wachache wenye sifa

Hata kama wameanza 1.3mil darasa la kwanza, kama hawajui kusoma na kuandika ikifika darasa la 4 warudie.
Hapo watabaki 700,000
Hao laki 7,
Darasa la 7 wachekeshwe tena ili wabaki 500,000

Hawa watakuwa bora

Hao 500,000 wachujwe Form 2

Wabaki 300,000

Hao Laki 3 wachujwe wabaki 100,000

Hao ndo waende vyuo vikuu
 
Hii inatisha mkuu... Mahafali zibadilishwe mifumo hii sio maadili
 
Serikali ilazimishe walimu wastaafu, iajili walimu wapya wenye degree, wasipewe mikataba ya kudumu. Waajiriwe kwa muda wa miaka 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…