Mashindano ya Division ZERO 2023

Sio poa
 
Tutue sie walimu vipanga.
 
Shule za Dar kwa o level ni majangaa, hasa za kata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
idadi ya wanafunzi 1070 duhh wengi hivi hapo nini kilitegemewa? kama sio hayo?
 
Kwenye hilo kundi ndio kuna wanawake wa 'Baby nakj bdae ira ntpta kw rfk yngu Mwanaisha c unjua leo kna shughuli? Ila mwnzio nanjaa kwl sijal mpk saiv ile hera nrinnua kijora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] hapa na wale madogo wa hivi hawakosi " oy bro inakuaj,mixhe vp naomba nixaidie buku 5 au kama kuna ishu nishtue"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!
 
Tumemfuma anatumia ID mbili moja hiyo juma nyingine hii...

Jana kajiroga kasahau kulog out kajikuta anajijibu mwenyewe...mi nawaweza hawa vijana wa hovyo ndo maana anapanic na kutukana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wanajeshi tena wakati Makongo na Jitegemee tu four na zero zinakuwaga za kumwaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…