Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Una uhakika ukipata zero unakubakiwa kwenye vyio vya ualimu??

Jaribu kufuatilia vizuri, requirements za kwenda ualimu zinazidi program nyingi ikiwemo za afya, biashara nk

Hapa nazungumzia kwenda certificate au diploma kupitia cheti Cha form four
 
Hawa nouma
Ina maana darasa lina wanafunzi 900+ ? [emoji3064] Hapa serikali ifanye jambo aisee

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Darasa kuwa na wanafunzi 900+ sio tatizo kabisa
Mbona miaka 20 iliyopita Mawenzi secondary kule moshi kila darasa lilikuwa na wanafunzi wa kukariribia 500 na walikuwa wanafaulu tu (nimeongelea miaka 20 iliyopita; hivyo kufikisha wanafunzi hata 1000+ kwa darasa sio tatizo; tatizo ni miundo msingi na wakuu wa shule wasaidizi kadhaa na ikipendeza wawe wanajeshi uone kama hakutakuwa na Div 1; 300 +
Na hii sheria ya wazungu ya kutudanganya tuondoe Fimbo mashuleni inatuharibia watoto. Hivi utaleaje wanafunzi wa kidato cha pili alafu wakose viboko? naamini waalimu watanielewa ninachosema.
Hizo sheria zinawafaa wale watoto wa kwenye mabasi ya njano ambao ni kama 20% ya wanafunzi wote. Tusivyo funga roho tukaamua kwenda kivyetu tuka amua kukopy kila kitu wakati wenzetu walipita hizo changamoto pengine miaka 100 iliyopita leo hii tunataka kujilinganisha nao...ni hatari sana hapo baadae kidogo
 
Mashindano (Matokeo) haya yalipaswa kwenda na Waziri (TAMISEMI) hii ni kashfa Kwa Taifa. Tunajivunia nn miaka 61+ya Uhuru? Nchi jirani eg. Kenya Waziri angeshawajibika bila kusukumwa.
 
Tutafute pesa watoto wakasome shule nzuri.

Yupo jamaa alifeli mwaka wetu akarudi shule ya private ada ya mamilioni akapiga one safi.

Ushauri wako hauna maana
Fine, wanetu wanasoma shule tunazoona ni bora na tunawalipia huko
Lakini nikuulizeee!? Wewe unalipa kodi kweli!? Kwahiyo unaona Suluhu ni kupeleka watoto shule nzuri wakati hizi shule anaendeshwa na kodi za kila mtanzania!?
Jiongeze buana
 
Sasa wanafunzi sahvi huko shuleni kutwa kudiscus mambo ya bongo fleva na wasanii wao,huku wakiwaduatilia wakina mwijaku babalevo jumalokole,kutwa kukatika mauno tu shuleni wakishindana kucheza singeli,mpaka hapo kuna kufaulu...
Mfano hawa kwenye video hii watapiga 1,2,3 kweli

Ova
View attachment 2499347
😂😅nimecheka sana aisee dah.
 
Umepatikana hahahaha we kenge eti nawe ni mwalimu hahahaha hapo upo na shikwambi kama nakuona multiple IDs zimekuumbua teh teh teh
Unataka nikutomber ndio maana unajipendekeza kwangu.
 
Unawaonea Sasa japo tmk vishawishi vingi bangi madawa uswahili ,madanguro ,wahaya Sudan keko
Sidhani kama hiyo ni sababu! Kama darasa moja lina wanafunzi 900 mikondo hapo inabidi iwe at least 20... Kama mikondo ni 3 how can a teacher manage that class size? Pia mkuu wa shule anawezaje kumanage shule yenye wanafunzi 900*4=3,600?
 
Walasio uongo ukitaka kujua kuwa n kweli hzo division 0 sio uongo fuatilia comment na stori zenye wafuasi wengi n za namna GANI hapa jf ndio utajua Kuna bomu hapo ikifika 2035-2050 hao watu wazima(40-50'yrs) na watoto wa umri huo nakwambia itakuwa n majanga sana kama taifa halitarud kwa mkolon sijui
Sio jf tu ata huku mtaani
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Sekta 1, 2, na 5 ni za muhimu sana ndo hupata watu wengi wenye ufaulu mdogo kama taifa apa tunafeli
 
Kama vipi warudie kusahihisha kam 2012
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
 
Wanapata F hadi somo la dini duuuu...wakati Bible knowledge mtu ulikua ukipata b unaona umefelii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bible knowledge somo gumu sana, unakutana na who said? Where?when? to whom? Ukijichanganya kidogo tu unapoteana
 
Back
Top Bottom