Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

Tatizo linaanza darasa la 4, mchujo watakiwa uanzie hapo.
Hakuna sifa kupeleka namba kubwa isiyo na faida.

Wachaguliwe wachache wenye sifa

Hata kama wameanza 1.3mil darasa la kwanza, kama hawajui kusoma na kuandika ikifika darasa la 4 warudie.
Hapo watabaki 700,000
Hao laki 7,
Darasa la 7 wachekeshwe tena ili wabaki 500,000

Hawa watakuwa bora

Hao 500,000 wachujwe Form 2

Wabaki 300,000

Hao Laki 3 wachujwe wabaki 100,000

Hao ndo waende vyuo vikuu
TEKU?
 
Mtoa mada halo kwenye watakao faidi na hayo maziro naomba uutoe uwalimu tafadhari
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474 + 533 Division 4 (ambayo ni division ZERO iliyochangamka) = YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata F F F F mpaka Civics, Kiswahili?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
6. Baa

Kuna mtu demu wake yupo katika hiyo orodha ya zero nyingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazazi jitahidini mtengeneze pesa muwapeleke watoto wenu shule binafsi, hizi za umma ni kama unamhakikishia mwanao zero, mambo mazuri gharama na hakuna vya bure
 
Kumbe shule ya seko inaweza kuwa na hata wanafunzi 10,000!
Hata kama hiyo shule ingekuwa na vitendea kazi vyote, mkuu wake atakuwa na wakati mgumu sana kuisimamia
 
Kumbe shule ya seko inaweza kuwa na hata wanafunzi 10,000!
Hata kama hiyo shule ingekuwa na vitendea kazi vyote, mkuu wake atakuwa na wakati mgumu sana kuisimamia
Alafu kuna mikondo mitano tu ..!! A,B,C,D,E
 
Taifa Secondary School ipo sehemu gani au uwanja wa Taifa mule ndani?
 
Duh Stroke now days anatumia lugha kali,Id yake anatumia mtu mwingine

Ova
Tumemfuma anatumia ID mbili moja hiyo juma nyingine hii...

Jana kajiroga kasahau kulog out kajikuta anajijibu mwenyewe...mi nawaweza hawa vijana wa hovyo ndo maana anapanic na kutukana!
 
Back
Top Bottom