Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Katika watu wenye bahati ya kupata nafasi ya kulijua drafti ni wewe mkuu. Nafasi zenyewe ni, muda mwingi unapata wasaa wa kukaa na mabingwa wakubwa, unazijua camps za drafti wanakoshinda mabingwa, una connection kubwa ya mabingwa wa drafti, na, muda mwingi Eng. Zezudu (anatambulika kama Kingmwando kwenye online draughts site ya playok.com) anakuhimiza akuuzie copy za kibingwa. Nina imani ni majukumu ya hapa na pale ndiyo yanayokufanya ukose utulivu wa kujifunza mbinu mpya za mchezo, utakapoamua utakua moto wa kuotea mbali.Playok kila nafungwa mimi tu, nitarudi, sasa hivi najinoa.
Mfano nikitaka kufanya kama documentary ya hii ishu tunafanyaje mzee?Nitajaribu kuongea na Millard, anaweza kushauri nini cha kufanya.
Faida moja ya kupata coverage kwa Millard inaweza kuongeza au kupata wadau wanaoweza kushauri nini cha kuongeza kwenye mashindano.
Wewe ni kibonde. InajulikanaPlayok kila nafungwa mimi tu, nitarudi, sasa hivi najinoa.
Mangwelele hachezi, yuko kwenye jopo la waratibu, kupata picha yake siyo rahisi.
Mfano nikitaka kufanya kama documentary ya hii ishu tunafanyaje mzee?
Katika watu wenye bahati ya kupata nafasi ya kulijua drafti ni wewe mkuu. Nafasi zenyewe ni, muda mwingi unapata wasaa wa kukaa na mabingwa wakubwa, unazijua camps za drafti wanakoshinda mabingwa, una connection kubwa ya mabingwa wa drafti, na, muda mwingi Eng. Zezudu (anatambulika kama Kingmwando kwenye online draughts site ya playok.com) anakuhimiza akuuzie copy za kibingwa. Nina imani ni majukumu ya hapa na pale ndiyo yanayokufanya ukose utulivu wa kujifunza mbinu mpya za mchezo, utakapoamua utakua moto wa kuotea mbali.
Yanaendelea lini?Group A washindi Vs Group C.
Group B washindi Vs Group D.
1 vs 4, 2 vs 3.
Yanaendelea lini?
Huyu dogo janja ni msaniii huyu wa bongo fleva au mwingineGroup A
1 - Nduli
2 - Dogo Hamis
3 - Dogo Janja
4 - Omary Kiwembe
Group B
1 - Issa Mamba
2 - Sisco
3 - Msomali
4 - Mboma/Dogo Athuman
Group C
1 - John Kipaji
2 - CR 7
3 - Simba Dom
4 - Dogo Ally
Group D
1 - Noel
2 - Kwata Mwivi
3 - Mjape
4 - Nungwi Bingwa
Huyu dogo janja ni msaniii huyu wa bongo fleva au mwingine
Duh!Group A
1 - Nduli
2 - Dogo Hamis
3 - Dogo Janja
4 - Omary Kiwembe
Group B
1 - Issa Mamba
2 - Sisco
3 - Msomali
4 - Mboma/Dogo Athuman
Group C
1 - John Kipaji
2 - CR 7
3 - Simba Dom
4 - Dogo Ally
Group D
1 - Noel
2 - Kwata Mwivi
3 - Mjape
4 - Nungwi Bingwa
Niliona umeandika mboma anakichapa na noel.Playoff Mboma vs Dogo Athuman, dogo Athuman ameshinda 1 bila.
Niliona umeandika mboma anakichapa na noel.
Best of 16:
- Nduli vs Dogo Ally
- Dogo Hamis vs Simba Dom
- Dogo Janja vs Ronaldo (CR7)
- Omary Kiwembe vs John Kipaji
- Issa Mamba vs Bingwa wa Nungwi
- Dogo Sisqo vs Mjape
- Msomali vs Kwata Mwivi
- Noel vs Mboma/Dogo Athuman