Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Playok kila nafungwa mimi tu, nitarudi, sasa hivi najinoa.
Katika watu wenye bahati ya kupata nafasi ya kulijua drafti ni wewe mkuu. Nafasi zenyewe ni, muda mwingi unapata wasaa wa kukaa na mabingwa wakubwa, unazijua camps za drafti wanakoshinda mabingwa, una connection kubwa ya mabingwa wa drafti, na, muda mwingi Eng. Zezudu (anatambulika kama Kingmwando kwenye online draughts site ya playok.com) anakuhimiza akuuzie copy za kibingwa. Nina imani ni majukumu ya hapa na pale ndiyo yanayokufanya ukose utulivu wa kujifunza mbinu mpya za mchezo, utakapoamua utakua moto wa kuotea mbali.
 
Nitajaribu kuongea na Millard, anaweza kushauri nini cha kufanya.

Faida moja ya kupata coverage kwa Millard inaweza kuongeza au kupata wadau wanaoweza kushauri nini cha kuongeza kwenye mashindano.
Mfano nikitaka kufanya kama documentary ya hii ishu tunafanyaje mzee?
 
Katika watu wenye bahati ya kupata nafasi ya kulijua drafti ni wewe mkuu. Nafasi zenyewe ni, muda mwingi unapata wasaa wa kukaa na mabingwa wakubwa, unazijua camps za drafti wanakoshinda mabingwa, una connection kubwa ya mabingwa wa drafti, na, muda mwingi Eng. Zezudu (anatambulika kama Kingmwando kwenye online draughts site ya playok.com) anakuhimiza akuuzie copy za kibingwa. Nina imani ni majukumu ya hapa na pale ndiyo yanayokufanya ukose utulivu wa kujifunza mbinu mpya za mchezo, utakapoamua utakua moto wa kuotea mbali.

Sihitaji kujua draft katika level ya kimashindano, akili haiwezi kupokea kabisa yaani.

Kwa hiyo nabaki nakubaliana na kiwango changu tu.
 
Group A
1 - Nduli
2 - Dogo Hamis
3 - Dogo Janja
4 - Omary Kiwembe

Group B
1 - Issa Mamba
2 - Sisco
3 - Msomali
4 - Mboma/Dogo Athuman

Group C
1 - John Kipaji
2 - CR 7
3 - Simba Dom
4 - Dogo Ally

Group D
1 - Noel
2 - Kwata Mwivi
3 - Mjape
4 - Nungwi Bingwa
 
Group A washindi Vs Group C.

Group B washindi Vs Group D.

1 vs 4, 2 vs 3.
 
Group A
1 - Nduli
2 - Dogo Hamis
3 - Dogo Janja
4 - Omary Kiwembe

Group B
1 - Issa Mamba
2 - Sisco
3 - Msomali
4 - Mboma/Dogo Athuman

Group C
1 - John Kipaji
2 - CR 7
3 - Simba Dom
4 - Dogo Ally

Group D
1 - Noel
2 - Kwata Mwivi
3 - Mjape
4 - Nungwi Bingwa
Huyu dogo janja ni msaniii huyu wa bongo fleva au mwingine
 
Best of 16:
  1. Nduli vs Dogo Ally
  2. Dogo Hamis vs Simba Dom
  3. Dogo Janja vs Ronaldo (CR7)
  4. Omary Kiwembe vs John Kipaji
  5. Issa Mamba vs Bingwa wa Nungwi
  6. Dogo Sisqo vs Mjape
  7. Msomali vs Kwata Mwivi
  8. Noel vs Mboma/Dogo Athuman
 
Group A
1 - Nduli
2 - Dogo Hamis
3 - Dogo Janja
4 - Omary Kiwembe

Group B
1 - Issa Mamba
2 - Sisco
3 - Msomali
4 - Mboma/Dogo Athuman

Group C
1 - John Kipaji
2 - CR 7
3 - Simba Dom
4 - Dogo Ally

Group D
1 - Noel
2 - Kwata Mwivi
3 - Mjape
4 - Nungwi Bingwa
Duh!
Kila group lilikua na washiriki 16, ghafla kila group limekua na washiriki wachache wanne (4), 12 wameaga mashindano, majina yaliyobaki ni yale maarufu tuliyozoea kuyasikia. Wageni walioaga walikua wasindikizaji tu
 
Best of 16:
  1. Nduli vs Dogo Ally
  2. Dogo Hamis vs Simba Dom
  3. Dogo Janja vs Ronaldo (CR7)
  4. Omary Kiwembe vs John Kipaji
  5. Issa Mamba vs Bingwa wa Nungwi
  6. Dogo Sisqo vs Mjape
  7. Msomali vs Kwata Mwivi
  8. Noel vs Mboma/Dogo Athuman

Omary Kiwembe amepita baada ya John Kipaji kuchelewa.

Mjape kapita, Dogo Sisqo amechelewa.
 
Back
Top Bottom