Katika watu wenye bahati ya kupata nafasi ya kulijua drafti ni wewe mkuu. Nafasi zenyewe ni, muda mwingi unapata wasaa wa kukaa na mabingwa wakubwa, unazijua camps za drafti wanakoshinda mabingwa, una connection kubwa ya mabingwa wa drafti, na, muda mwingi Eng. Zezudu (anatambulika kama Kingmwando kwenye online draughts site ya playok.com) anakuhimiza akuuzie copy za kibingwa. Nina imani ni majukumu ya hapa na pale ndiyo yanayokufanya ukose utulivu wa kujifunza mbinu mpya za mchezo, utakapoamua utakua moto wa kuotea mbali.