Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Tarehe 8 agosti ya mashindano imeshafika na imepita, mnaofatilia tupeni updates
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 8 agosti ya mashindano imeshafika na imepita, mnaofatilia tupeni updates
Naomba mtakao kuwepo eneo la tukio mchukue ata video basi na ss tuliokuwa mbali tuone mabingwa haoIlionekana tar 8 haikuwa convenient kwa baadhi ya wachezaji.
Rasmi yanaanza tar 3 September.
Ukumbi pia umebadilika, itakuwa Java Lounge kitunda.
Kaka kawaida kinawakiaga pale pale Java lounge.Ilionekana tar 8 haikuwa convenient kwa baadhi ya wachezaji.
Rasmi yanaanza tar 3 September.
Ukumbi pia umebadilika, itakuwa Java Lounge kitunda.
Kaka kawaida kinawakiaga pale pale Java lounge.
Mashindano yataongeza audience endapo kukiwa na live streaming kutoka mechi ya kwanza mpaka ya mwisho zikionyesha full view ya drafti.Ilionekana tar 8 haikuwa convenient kwa baadhi ya wachezaji.
Rasmi yanaanza tar 3 September.
Ukumbi pia umebadilika, itakuwa Java Lounge kitunda.
Mashindano yataongeza audience endapo kukiwa na live streaming kutoka mechi ya kwanza mpaka ya mwisho zikionyesha full view ya drafti.
Regards.
Mwakani kiingilio chá kushiriki mashindano hayo ni bei gani?
Na kila mchezaji anakuwa na kete 12(12×2=24 kete hili ni la watoto wadogo) au kila mchezaji kete 24 (24×2=48 kete hili ni la watu wakubwa)
Nalog off
Sasa huko mkoani unashiriki mashindano bure bila ya kutoa hela ya ushiriki?Kiingilio ni wewe uwe bingwa wa mkoa wako tu.
JAVA CUP 2021
MAKUNDI
Group A
GROUP B
- Nduli Ndulima
- Amani Siri aka Mchunguzi
- Dogo Janja
- Swedi
- Dume la Mbegu (Bingwa Morogoro)
- Rama Singida
- Twaha Dibwe
- Dogo Jafari
- Dogo Hamisi
- Omary Kiwembe
- Ayubu Mpemba
- Christopher (Tanga)
GROUP C
- Issa Mamba
- Dogo Sisco
- Shabani Katoto
- Saiya
- Mtalebani
- Dogo Athumani
- Mboma aka Mkuu wa Majeshi
- Mafia (Moshi)
- Fyatuka Mahisabati (Songea)
- Hancy (Iringa)
- James Mapigo aka Intelligence
- Msomali ( Arusha )
- Ronaldo aka CR7, De Lima, Scientist
- Gaidi
- Dogo Ally
- Rama wa Arusha
- Mjomba Shiza
- Dogo Shukuru
- Mwarabu Spear
- Monster (Zanzibar)
- Simba Dom
- Master Chaula
- John Kipaji (aka Computer)
- Mansuli
GROUP D
- Noeli Namaloe - Bingwa Mtetezi
- Masta Mjape
- Dogo Yassini
- Kwata Mwivi
- Mtanga
- Ally White
- Maldini
- Prf Nassoro
- Nungwi Jr
- Mangi
- Saidi Maziwa
- Kenny (Mbeya)
Tar 3 September 2021 ndo yanaanza, yatachukua takribani siku 3.
Washindi wako watatu unaowapa nafasi mkuu ?
Nilisikia mkulima yupo kapotelea wapi?Dogo Sisco, Issa Mamba na Noel.
Ronaldo haumuamini hapo 3 bora.Dogo Sisco, Issa Mamba na Noel.
Dogo Sisco, Issa Mamba na Noel.
Ronaldo haumuamini hapo 3 bora.
Huyu Sisco sijamsikia sana.. anatokea naye Dar ? Au naye ni mdau wa kwa manyanya
Mashindano yamefikia wapi... niko arusha natan sana kushuudia huo mtanange