Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Dogo Ally vs Nduli game 14 za Omary John zimeisha kwa sare, wanaenda 6 za kuanzishiana.
 
Robo Fainali:

Issa Mamba vs Kwata Mwivi

Noel vs Ronaldo

Nduli vs Omary Kiwembe

Mjape vs Simba
 
Nitajaribu kuongea na Millard, anaweza kushauri nini cha kufanya.

Faida moja ya kupata coverage kwa Millard inaweza kuongeza au kupata wadau wanaoweza kushauri nini cha kuongeza kwenye mashindano.
Natamani sana kulijua kucheza drafut kisawasawa nani anaweza nielekeza vitu vya msingi ktk mchezo huo, natamani hata watu wa Youtube channel watuwekee video za huu mchezo hasa mbinunza kuwa bora kushinda mpinzani unaweza kuwa hujui ila ukamuomba au kukubaliana na mjuzi wa draft mkatengeneza video mkaweka YouTube tukapata kujifunza zaidi huu mchezo jmn

Hii ni fursa ya kupata views hii kitu wengi hawafanyi ukifanya unakuwa pekee ako na ni lazima upige views wa kutosha mpaka wengine waje kushituka we uko mbali. .. Naomba kama kuna mtu anafahamu chanel ya youtube yenye video za kuelekeza huu mchezo anipe link hapa au pm nmeomba jmn[emoji106][emoji106]
 
Kuna jamaa anaitwa Rama, atakuwepo? Mngeunda hata youtube channel muweke hizo game.
Umesema kitu kizuri aisee watu wa Youtube wafanye hii kitu watapiga views sana [emoji115][emoji115]
 
Tatizo la huu mchezo ni udhamini, na pia watu hawauchukulii serious.

Kwa hiyo kusema mtu afungue YouTube channel ni gharama sana, kuna wadau huwa wanajaribu lakini unapata views chache sana.

Kwa hiyo mchezo unabaki baina ya wadau.
Sio lazim mtu afungue chanel kwa ajili ya kuweka tu video za mchezo huo bali na mambo mengine unamix
 
Back
Top Bottom