Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Duh ushindi wa mezani ila waliochelewa wamezinguaOmary Kiwembe amepita baada ya John Kipaji kuchelewa.
Mjape kapita, Dogo Sisqo amechelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ushindi wa mezani ila waliochelewa wamezinguaOmary Kiwembe amepita baada ya John Kipaji kuchelewa.
Mjape kapita, Dogo Sisqo amechelewa.
Duh ushindi wa mezani ila waliochelewa wamezingua
Hiyo ni ishara ya kudharau mchezo.Imagine, watu waliambiwa mashindano yanaanza saa 2 na nusu.
Mpaka muda huu hawajafika.
Ila mafundi wengine wamefika?Hiyo ni ishara ya kudharau mchezo.
Ila mafundi wengine wamefika?
Wanacheza mechi ngapi katika kila mchezo
Dogo Ally vs Nduli game 14 za Omary John zimeisha kwa sare, wanaenda 6 za kuanzishiana.
Namuona Simba akitinga fainali!Robo Fainali:
Issa Mamba vs Kwata Mwivi
Noel vs Ronaldo
Nduli vs Omary Kiwembe
Mjape vs Simba
Natamani sana kulijua kucheza drafut kisawasawa nani anaweza nielekeza vitu vya msingi ktk mchezo huo, natamani hata watu wa Youtube channel watuwekee video za huu mchezo hasa mbinunza kuwa bora kushinda mpinzani unaweza kuwa hujui ila ukamuomba au kukubaliana na mjuzi wa draft mkatengeneza video mkaweka YouTube tukapata kujifunza zaidi huu mchezo jmnNitajaribu kuongea na Millard, anaweza kushauri nini cha kufanya.
Faida moja ya kupata coverage kwa Millard inaweza kuongeza au kupata wadau wanaoweza kushauri nini cha kuongeza kwenye mashindano.
Namuona Simba akitinga fainali!
Umesema kitu kizuri aisee watu wa Youtube wafanye hii kitu watapiga views sana [emoji115][emoji115]Kuna jamaa anaitwa Rama, atakuwepo? Mngeunda hata youtube channel muweke hizo game.
Sio lazim mtu afungue chanel kwa ajili ya kuweka tu video za mchezo huo bali na mambo mengine unamixTatizo la huu mchezo ni udhamini, na pia watu hawauchukulii serious.
Kwa hiyo kusema mtu afungue YouTube channel ni gharama sana, kuna wadau huwa wanajaribu lakini unapata views chache sana.
Kwa hiyo mchezo unabaki baina ya wadau.