Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake


halafu lady furahia naomba
umtangaze mshindi tafadhali
mi sitoweza waaalah naweza angua kilio
coz washiriki wote walistahili!!
 
Last edited by a moderator:
mbona mi sijawekwa au mimi handsamu boi...kuna rastermzuri kweli let me in bana
 
Ohoo pole sana hukupata watu wa kukuunga mkono na kukuingiza kambini hivyo haukupangwa
subiri mwaka mwingine tena
mbona mi sijawekwa au mimi handsamu boi...kuna rastermzuri kweli let me in bana
 
Wote naona mahandsome tu hakuna wa kupigia kura.
 
SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA WA CC - 2013

HAYA NDO MATOKEO YA MTU MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA CC 2013

Tumekaa na majaji wenzangu tukihesabu kura kwa siku 5 na leo tunamtangaza mshindi bora wa
mwaka 2013 aliyejipatia kura nyingi katika kura 70,770 yeye aliweza kuipata kura 50,481

Tunaanzia kwa yule aliyeshika nafasi ya 3 bora ambaye ni:
Slave

Sifa za Mshiriki no 3
Alikuwa mtu ambaye anapenda kujituma, kujifunza na mwingi wa ucheshi
ila kwa upande mwingine alikuwa mbabe sana, na hii tabia ndio iliyomfanya
asipate kura nyingi kutoka kwa washiriki maana kuna wakati mwingine a
alithubutu kufanya kitu pasipo majaji na watazamaji kupenda.

Amepata kura 39,641 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET
kwenda kutalii Ngorongoro kwa wiki nzima, na kisha kumpumzika
ZANZIBAR kwa 2 days.


ZAWADI YAKE NI HII HAPA:


MSHIRIKI ALIYECHUKUA NAFASI YA PILI NI Katavi

SIFA ZA MSHIRIKI NO. 2

Mshiriki no2 yeye ni mchapakazi, na mtu mwenye heshima,
aliyejaa staha kwa washiriki wenzake alipokuwa kambini
aliweza kumudu majanga mbalimbali yaliyomtokea pindi
alipokuwa kambini, ni mcheshi na mwenye kushangaa sana,
(sijui katoka upcountry) maana ........mhm!, Ni mtu anayependa
kusikiliza viongozi wake na anachukua hatua ya kile alichojifunza.

Amepata kura 45,888 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET
kwenda kutalii mbuga za wanyama Ngorongoro kwa wiki nzima, na kisha
kumpumzika ZANZIBAR kwa 2 days.


ZAWADI YAKE NI HII HAPA CHINI:


Na MSHINDI wetu Ni...............................

WOW!
ALIYEJINYAKULIA USHINDI WA MTU MWENYE MVUTO
WA SURA MBAYA HAPA CC 2013 NI ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bujibuji
Piga makofi tafadhaliiii

SIFA ZA MSHIRIKI

Mshiriki huyu alipenda kujifunza mambomengi aliyokuwa
akifundishwa na waalimu wake, alikuwa msikivu na mtii,
alikuwa mtu mwenye ucheshi mwingi sana na wakati mwingine
alipenda kuwatania hata majaji, kuhusu msosi kwake haikuwa shida
hata kama mmepika mlenda kwa uji yeye anapeleka tu mdomoni
ni mtu mwenye matukio mema mengi, anapenda kuchora katuni za
viiongozi hata sie majaji ametuchora tumependelea sana kazi yake
ya uchoraji, mtu anayependa kuigiza, kusoma na kushangaa sana.

Amepata kura 65,879 kati ya kura 70,770 tutampa ticket ya ndege FASTJET
kwenda kutalii mbuga za wanyama Ngorongoro kwa wiki nzima, na kisha
kumpumzika ZANZIBAR kwa 2 days.

Amepata ZAWADI hizi zifuatazo:


na tumemzawadia zawadi hii bado haijaisha kujengwa ikiimalizika
tutampa na funguo za nyumba hii ili aweze kujimudu na familia yake



ONYO NA UFUNGAJI
Shindano sasa limefungwa rasmi na majaji LiverpoolFC, Passion Lady, na mm mratibu wenu
hivyo hakuna pingamizi lolote ambalo litafanywa na washiriki yeyote kwani tuliangalia VIGEZO NA
MASHARTI vimezingatiwa juu ya shindano hili na tulifuata kanuni zote za ushindi katika ibara 54
kifungu cha 5.

Endapo mshiriki yeyote yule atapinga matokeo haya basi itamlazimu kulipa faini kwani tumesha
peleka ombi hili shaurini pale CC . Maktaba kuu.


CC: Heaven on earth, Mtambuzi, sweetlady, mwaJ, Mwita Maranya, watu8, Filipo, Lady doctor,
gfsonwin, figganigga, Erickb52, Mr Rocky, Paloma, The secretary, amu, Ruttashobolwa na wengine wengi

THE END



 
Last edited by a moderator:
Hongera..
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia, usiniambie kuwa unatania.
Napokea kwa imani....
Yaani hapa nilipo machozi yananibubujika kama wale wadada wanaoshindaga miss world, napunga mikono na kurusha vibusu vya kizushi

 
Last edited by a moderator:

Pamoja na ukweli wewe ni jamaa yangu lakini naona huna sura mbaya kwa hiyo siwezi kuchakachua kura yangu itabidi niipeleke panapostahili.
 
poleni kwa kazi ngumu ya kusimamia shindano kwa usawa na haki ladyfurahia na majaji woote akiwepo Passion Lady na ruta, pia hongera :A S 41::A S 41: Bujibuji :A S 41: Katavi na hata mie najipa hongera, kazi ilikuwa pevu changamoto nyingi sana tumepata,:clap2::clap2:

one love kwa wote..:bange:
 
Last edited by a moderator:
Hongera nawe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…