Mashindano ya Mvuto wa Sura Mbaya na Mwonekano wake

ladyfurahia hebu tuambie hii sura ni ya handsome gani vile?
View attachment 114067
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaa
Mie nimehamia siasani Bujibuji alinishindwa kwa kuwa hakujua ninachokipenda
akajiondokea kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
unachotakiwa kufanya ni kuomba kwa marafiki zako/zenu ili wawapigie muweze kushinda,
kama utafanya hivyo umejiondoa mwenyewe kwenye shindano hili
Hivi Ladyfurahia na sisi tunatakiwa kuomba kura au
Maana sijajua na sisi tuko kwenye mashindano
 
Itakuwa ngumu bestito kwani watu walimpendekeza awepo kwenye list hiyo ya kuwania tuzo la sura mbaya,
ngoja niongee na katibu Asprin kama inaweezekana tutalishughulikia jambo lako best
 
Last edited by a moderator:
ni mapema mno kutaja zawadi ila majaji tunafahamu zawadi gani atapewa.
Lakini
mshindi atapelekwa kwenye mbuga za wanyama kutalii
kwa mwaka mzima wa 2014
Mshindi anapewa zawadi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…